Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada


Mpaka wakati mwingine tena
 

Nyumba ya Udongo na miti, Iko Mjini kati kabisa Kariakoo 🀣 sijui wanasubiri Nini kuiuza
 
Kwanini mafundi wa kibongo hampendi ku specialize unakuta fundi yeye mason, bati anapiga yeye, vigae yeye, unaona ni sawa..?
 
Kwanini mafundi wa kibongo hampendi ku specialize unakuta fundi yeye mason, bati anapiga yeye, vigae yeye, unaona ni sawa..?
Hili naweza kulijibu Kwa upande wangu, sijui wenzangu.
Kwa ufupi, unapewa ujenge nyumba, unajenga vizuri unaondoka, anakuja fundi Plasta anapiga plasta vibaya nyumba nzima inaonekana mbovu.
 
Ujumbe wangu mfupi,
2025, Asante kwa Kila Kitu! πŸ™
Mwaka huu umetuletea furaha, machozi, mafunzo na ushindi. Tumefikia mwisho wake, ingawa kulikuwa na changamoto nyingi, tumekuwa na kujifunza katika changamoto hizo.
Karibu 2026! πŸŽ‰
Tunaingia mwaka mpya kwa moyo mkunjufu, matumaini makubwa na dua za kheri. Nawaombea wote afya njema, furaha tele na mafanikio makubwa zaidi.
Heri ya mwaka mpya kwenu wote!
🀞
 
Ukiamua kushika kazi ya boss, Fanya kazi ya watu vizuri. kufanya kazi mbovu atakayekuja hatauliza umelipwa bei Gani , yeye atasema umefanya kazi mbaya.
ifanye vizuri vizuri, hauwezi acha.
Watu wanatoa pesa zao, heshimu pesa za watu n kazi Yako itaheshimiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…