Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Ilikuwa wakati mzuri Sana
 
Sasa acha nirudi mjini kwenye Kila aina ya vurugu 🤣
 
Msingi huwa unajenga kozi ngpi? Noona misingi yako mifupi.
Msingi ni kozi 5 mkuu,
Inaweza kuonekana msingi mfupi labda kwakuwa haijafungwa mkanda wa chini (mwenye nyumba aliamua hivyo)
 
Msingi ni kozi 5 mkuu,
Inaweza kuonekana msingi mfupi labda kwakuwa haijafungwa mkanda wa chini (mwenye nyumba aliamua hivyo)
Aisee. Kaamua isifungwe mkanda wa chini?
 
Aisee. Kaamua isifungwe mkanda wa chini?
Tunapitia mengi mkuu huku Saiti acha tu.
Huo mkanda wa juu tu alitaka tulaze nondo 2 bila kusuka.
Baada ya kumpatia maelezo marefu akakubali tusuke nondo.
Ni mtu kutoka Pemba anasema kwao Huwa wanaweka nondo madirishani na milangoni tu
 
1769527164184.jpg
Kazi ya Leo Kibarua wangu kaniuliza fundi hizi tofali kwani zinatoka nje ya nchi mbona ngumu Sana 🤣🤣🤣 ikabidi tu nicheke.
Tofali jiwe.
 
Master mbili za Kupangisha
 
Msingi mpaka top kozi
 
image-18.jpg

Kazi ya Leo ni kugawa vyumba
 
Ilikuwa kama Godown Sasa anataka aweke vyumba vya kupangisha
 
Back
Top Bottom