Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

IMG_20260131_162149_459.jpg

Hatua ya kwanza
 

Morning vibe 🌞
 
Leo nimejifunza jambo jipya!
Kwa watu wenye Imani unapowafanyia setting za vyoo, sink la choo hawataki lielekee Qibla.

Katika kuaandaa michoro ya nyumba / majengo nitazingatia hili.
🙏
 
 
Mimi naona hizi tofali za nchi 6 ilitakiwa ziwe zinabebwa na viroboti vidogo vidogo 🤣
Fundi yeye apige kobilo tu na kukazia
 
 
Mimi naona hizi tofali za nchi 6 ilitakiwa ziwe zinabebwa na viroboti vidogo vidogo 🤣
Fundi yeye apige kobilo tu na kukazia
Hii kazi napenda niijue bwashee , nikiwa mdogo nilikua na ndoto za kuwa fundi nyumba🤔
 
Hii kazi napenda niijue bwashee , nikiwa mdogo nilikua na ndoto za kuwa fundi nyumba🤔
Ni kazi nzuri bwashee Hela ya konyagi na nyama kilo Moja uhakika Kila siku 🤣
 
Back
Top Bottom