Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Hii kazi napenda niijue bwashee , nikiwa mdogo nilikua na ndoto za kuwa fundi nyumba🤔
Kikubwa wewe kama fundi Fanya kazi nzuri bila kujali umelipwa Hela nyingi au hela kidogo.
Ukifanya kazi nzuri kesho utaitwa Tena.
 
Kikubwa wewe kama fundi Fanya kazi nzuri bila kujali umelipwa Hela nyingi au hela kidogo.
Ukifanya kazi nzuri kesho utaitwa Tena.
Huwa nawatazama sana mafundi nawaona wanakipaji cha kipekee mkuu, kujenga nyumba na watu wakaishi humo kwa usalama kabisa sio jambo dogo
 
Huwa nawatazama sana mafundi nawaona wanakipaji cha kipekee mkuu, kujenga nyumba na watu wakaishi humo kwa usalama kabisa sio jambo dogo
UKo sahihi mkuu, mahesabu tu kiasi and then boom kitu kinasimama
 
Lazima nikupe kazi moja bwashee , ngoja nizichange shekeli kwanza🤔
Karibu Sana mkuu!
Anza Kwa kidogo Jenga Kwa awamu.
Foundation na mkanda unatulia.
Ukipata Tena unajenga boma mpaka mkanda.
Unakula dawa, ukizipata Tena unamalizia top kozi na kupaua.
Ukifika hapo mzigo kama upo unaweka madilisha na milango magril kabisa kuzuia watu wasiifanye kama guest house.
 
Hiyo ni nyumba ya wapangaji , nijikusanye tu nikianza mpaka mwisho
 
Mkuu, kazi ambazo nazifanya mimi kama mimi 100%
Kujenga (kuanzia msingi mpaka juu, plasta, Skiming, tiles.

Kupaua sipaui mimi (Kuna fundi wangu ambaye yeye hapa mjini anaishi Kwa kazi ya kupaua)
Huwa namchukua huyo ananyosha bati.
Karibu
Bei zake zikoje mfano nyumba ya vyumba vitatu vya kulala,sebule,jiko sqm 112
 
Bei zake zikoje mfano nyumba ya vyumba vitatu vya kulala,sebule,jiko sqm 112
Kupaua inategemea mkuu!
Lakini nyumba nyingi wastani ni milioni 1, lakini kikubwa ni wewe na yeye maongezi yenu.
Inaweza kupungua au kuongezeka.
Kikubwa ni nyie wawlili mtaongea vipi
 
IMG_20260223_111326_042.jpg
Setting 2 master Bedrooms Settings
 
Kesho nayo ni siku.
Tunafunga mkanda 🙏
 
Back
Top Bottom