Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

JamiiForums mbona nataka ku upload video zinakataa kupitia app yenu hii. Siku zote natumia Chrome kuupload video Leo nikasema nitumie
 
Hivi mfano umepiga floor hivi akaja wa Tiles akabandika juu yake kuna shida?

Au ratio ya kupigia tile na ratio ya kupigia zege haziendani?
Hii ni floo ya kawaida tu mkuu, ratio yake haifai Kwa kubandika tiles juu yake.
Hii floo Kwa ajili ya kuweka sawa sakafu, kujaza sehemu yenye bonde Ili Fundi tiles akija asipate shida.
 
IMG_20260904_082808_199.jpg
 
Mnatuita wakaidi, basi ofisini kwenu hatuji mpaka siku ya IDD
IMG_20260904_082709_860.jpg
 
17885169624961003258261638069547-jpg.3663183
 
Attachments

  • VID_20260904_131258.mp4
    39.2 MB
Kazi imenyooka
Kazi imepitia changamoto hii acha kabisa mkuu.
Picha linaanza kwenye manunuzi ya kiwanja vipimo vilikosewa karibia mita 5 nzima.
Tumeonyeshwa mwisho wa kiwanja tukaacha mita 1 na nusu kama kawaida tukajenga, anakuja jirani anasema tumezidi kwenye kiwanja chake.
Yakaletwa makaratasi pale kweli viwanja vya kipimo haviko sawa, vyumba viwili viko nje ya kiwanja, ikabidi tuanze upya, aliyeuza kiwanja akasema atalipa fidia ya simenti zilizotumika.
 
Kama una kazi ya Ujenzi nicheki nikufanyie kazi Yako +255624254690
Bei ya wazawa, huduma ya watalii
View attachment 3462154

:CatNerd:Anayetaka Vyumba vya kupangisha vipo kigamboni vijibweni chumba kimoja kina choo kwa ndani na chumba kingine hakina choo kwa ndani. Ukihitaji chumba wasiliana kwa namba 0745 811 786 au namba 0754 977 705. Mkuu Ninakuuliza Swali je kutengeneza choo cha ndani na kupiga plasta na rangi unatoza gharama zako kiasi gani?
 
View attachment 3665347

View attachment 3665349
:CatNerd:Anayetaka Vyumba vya kupangisha vipo kigamboni vijibweni chumba kimoja kina choo kwa ndani na chumba kingine hakina choo kwa ndani. Ukihitaji chumba wasiliana kwa namba 0745 811 786 au namba 754 977 705. Mkuu Ninakuuliza Swali je kutengeneza choo cha ndani na kupiga plasta na rangi unatoza gharama zako kiasi gani?
Swali lako ni tata mkuu.

Kutengeneza Choo Cha ndani, Chumba tayari kipo maana yake, kwahiyo ni kujenga/Kuzalisha choo ndani.
Cha ukubwa gani?
Ningeona mazingira ya sehemu husikia au maelezo mazuri ningekupa hesabu za uhakika.
 
Kama hicho choo cha wastani tu.
WhatsApp Image 2025-12-15 at 18.28.34.jpeg

WhatsApp Image 2025-12-15 at 18.28.33.jpeg

Ukubwa wa choo cha ndani kama hicho kwa upande wa pili angalia hizo picha.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2025-12-15 at 18.28.34 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2025-12-15 at 18.28.34 (1).jpeg
    58.8 KB · Views: 13
View attachment 3665369
Kama hicho choo cha wastani tu.
View attachment 3665379
View attachment 3665380
View attachment 3665381
Ukubwa wa choo cha ndani kama hicho kwa upande wa pili angalia hizo picha.
Labda mkuu nikupe mwanga kidogo,
kujenga na kupiga plasta ndani na nje inaweza kuwa laki Moja, huo ni mwanga tu mkuu kama unahitaji kuanza. Baada ya kukamilika mambo ya skimming, rangi, n.k hayo inakuwa rahisi zaidi kukwambia bei halisi maana nakuwa tayari nimeshaona kazi ikoje.
Lakini Kwa kuanza ndiyo kama hivyo kujenga na kupiga plasta ndani na nje inaweza kuwa hapo kwenye laki Moja.
 
Haya nimekuelewa nikikuhitaji nitakutafuta asante sana .
 
Back
Top Bottom