Mkuu mpaka plasta unapiga kumbe.
0624254690
Habari zenu wakuu!
Mimi ni fundi ujenzi,
Nitatumia Uzi huu kupost kazi zangu ninazofanya (Ibada zangu).
Ukihitaji fundi ujenzi usisite kunitafuta nikufanyie kazi Yako.
View attachment 3429489View attachment 3429490View attachment 3429491View attachment 3429492
Hamna kitu haramu chini ya jua. Kinachotakiwa kila jambo lifanywe kwa kiasiBetting haramu sheikh wangu 😁
Hata jiwe sii haramu ni halali kabisa kwenye ujenziKuna jamaa anauza kitimoto Sasa alikuja mitaa yetu tukamwambia unauza haramu akasema haramu ni jiwe tu ndiyo halifai kuliwa 😁