Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Dakika za Jiooooni
 
Nyie vijana kuwachukulia dhamana kazi sana. Kuna mtu nimempa namba yako akupe kazi endelevu anakupigia simu siku nzima hupokei!
Nimekuta missed call 3.
Ya kwanza ilikuwa saa 5:00.
Wakati huo nilikuwa juu ya Jukwaa namalizia kujenga,
Ilikuwa lazima hii kazi Leo iishe kwahiyo niliweka simu mbali.

Mpaka namaliza kazi naenda kushika simu ndiyo nakuta hizo missed call.

Nimempigia hajapokea mara kadhaa.

Pamoja na yote nashukuru sana mkuu na samahani Kwa yote
πŸ™
 
 

Attachments

  • screenshot_VID_20260920_164828_1789915206711.png
    1.2 MB · Views: 7
Your browser is not able to display this video.
 
Mfano hapo ukishapiga slab, kujenga nyumba ya vyumba viwili, choo, jiko, sebule ni bei gani? Kuanzia kozi ya kwanza mpaka ya 11 before linta.

Zingatia, nyumba inakaa juu ya hiyo slab
Hapo ilikuwa mnara wa tank la maji tu mkuu , ila kwakuwa umetoa kama mfano nimekuelewa.

Kuhusu bei ya kujenga hiyo nyumba ya vyumba viwili, choo, jiko na sebule inategemea ukubwa wa hiyo nyumba mkuu.

A, nikiona mchoro wake inakuwa rahisi zaidi kukwambia gharama yake halisi.

B, kwamba hauna mchoro ila nikaona eneo, ukasema unahitaji vyumba vya ukubwa Gani, naweza pia kukwambia gharama.

Au kama ni lazima Sana unahitaji kufahamu gharama ya ufundi Kwa maelezo ambayo umetoa hapo juu,
ni kwamba itacheza kwenye 800,000/= au zaidi.

Ila gharama halisi ni kama nilivyosema mwanzo, kuona Mchoro ni muhimu Ili kutoa gharama halisi.
 
 

Attachments

  • IMG_20260924_172708_0.jpg
    736.7 KB · Views: 11
Nimekuelewa mkuu,
Ila nyumba ni inajengwa juu ya slab (ghorofa). Yaan kuna jamaa alijenga nyumba ya chini nkamwambia niweke slab juu yake kiwe ndio kiwanja changu (very interesting πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„)
 
Nimekuelewa mkuu,
Ila nyumba ni inajengwa juu ya slab (ghorofa). Yaan kuna jamaa alijenga nyumba ya chini nkamwambia niweke slab juu yake kiwe ndio kiwanja changu (very interesting πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„)
Kama structure ya jengo imejengwa kuruhusu kubeba Nyumba nyingine juu unaweza kujenga.
Ila kama ni mapenzi Yako tu na mfumo wa chini haukuwekwa Kwa ajili ya kuhimili nyumba nyingine juu acha.
 
Kama structure ya jengo imejengwa kuruhusu kubeba Nyumba nyingine juu unaweza kujenga.
Ila kama ni mapenzi Yako tu na mfumo wa chini haukuwekwa Kwa ajili ya kuhimili nyumba nyingine juu acha.
Inaruhusu mkuu,
Purely for ghorofa from the beginning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…