Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Hongera sana Mkuu
Mungu akuzidishie wateja.
Wacha tujichange, tutakutafuta tuanze na msingi angalau.
Hakika mkuu. Kujenga SI lazima ujenge nyumba yote Kwa pamoja.
Hapa nilianza Kwa kujenga msingi.
Boss akatulia.
Imekuja awamu nyingine tumefunga mkanda wa chini na kujenga kozi nne nyumba yote.
Boss akatulia, tumepandisha vyumba vitatu Boss akatulia,
Na Leo nimekuja kunyanyua Jiko na Sitting room.
Kwahiyo kujenga unaweza kwenda hatua Kwa hatua
Karibu Sana mkuu.
 
Kujenga chumba self na sebule bei gani
 
Back
Top Bottom