Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Fuata kanuni za Ujenzi! Jamvi lipo wapi?
Hili siyo Jengo la Ghorofa mkuu kwamba tuweke jamvi.
Badala ya Jamvi umefungwa mkanda.

Nimekujibu japo sijui kama umeuliza ukiwa serious mkuu
 
Nipo serious! Unajua madhara yake?
Kwenye nyumba hakuna madhara mkuu.
Jamvi ni Kwa ajili ya majengo ya Ghorofa, nyumba za kawaida kama hizi katika nyumba 100 basi itakayo mwagwa Jamvi ni Moja au usikute kabisa hata hiyo Moja.
Maana yake Nini? Badala ya Jamvi unasuka nondo unafunga mkanda (hapo hapo ukumbuke wengine hata huo mkanda wa chini hawafungi, wanafunga mkanda wa juu tu).
 
Unaongea tu! Tumeanza kujenga kabla hujazaliwa. Umaskini ndiyo Unasumbua tu
 
Unaongea tu! Tumeanza kujenga kabla hujazaliwa. Umaskini ndiyo Unasumbua tu
Naheshimu ukongwe wako mkuu.
Na wewe umekubali kuwa umasikini ndiyo unasumbua.
Ndiyo maana nimeandika kwamba badala ya Jamvi unasuka nondo unamwaga zege, hapo hapo pia ukumbuke wengine Kwa kungalia hali zao za kiuchumi hata huo mkanda hawaweki.
Na katika nyumba 100 unaweza usikute hata nyumba Moja ambayo imemwagwa Jamvi.
Kama wewe ni fundi utakuwa unakubaliana na hilo
 
Hakika mkuu. Kujenga SI lazima ujenge nyumba yote Kwa pamoja.
Hapa nilianza Kwa kujenga msingi.
Boss akatulia.
Imekuja awamu nyingine tumefunga mkanda wa chini na kujenga kozi nne nyumba yote.
Boss akatulia, tumepandisha vyumba vitatu Boss akatulia,
Na Leo nimekuja kunyanyua Jiko na Sitting room.
Kwahiyo kujenga unaweza kwenda hatua Kwa hatua
Karibu Sana mkuu.
Kweli kabisa.
Asante pia kwa maelezo haya mazuri, Kumbe inawezekana kwenda mdogo mdogo.
 
Back
Top Bottom