Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
Heee
weeee naweeeeee ebu toa ubuyu mwanana,unavosema ka wote tunajua ni ya kupandikiza,,,,,,,enheee mama nishushie.....Mbona mimba imeumuka faster hivyo au ndo ni tofauti na natural? Maana wanasema hyo ni ya kupandikiza...🙂🙂ila wabongo hawanaga jema