Picha: K-lynn aanza kuonyesha jeuri ya fedha

Umbea kipaji ila kuboronga kupo unajuwa kipaji kikizidi mafuriko pole kwa ajali kazini

Ahsante mwenzangu loh yamenikuta leo, ni kama mchawi akamatwe live uchi wa mnyama akiwanga, utasema nini apo?
 
Ebu nitoe tongo tongo mie? Kumbe sio lake? Maana ndio umbea unaonea mujini duka la k lyn dubai kha, nibngekua na mfadhili ningeenda dubai kwa kweli kukamilisha umbea

warumi nitakujuza naenda huko jumatano.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kuumbuliwa na kuchambwa kama ivi, yani leo nimeaibikaje? Sura imenshuka apa kama pumb * za mbwa
tehteh sio kila siku asbh...usitupe mashaka bhana na elimu yako ya umbea tukaanza uliza huyu m PhD huyu kweli au mdegree tu....
 
Ila warumi leo imebidi niwe shabiki wako, yaani uko sambamba wala hutetereki na mirindimo ya 'ukweli' huu. Kila nikisoma majibu yako nakufa mbavu kwa kicheko...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…