Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokana na fedheha na aibu iliyonikuta leo mbea maarufu niliyetukuka, nimeamua rasmi kujiuzulu kwenye kiti cha umbea, naombeni mtafute mrithi naona nimeanza ku expire, nimekabidhi kijiti rasmi
Cc Heaven on Earth Evelyn Salt geniveros Ms.Lincoln
Hilo Duka wala sio lake....... ye kapost maybe jina lake
linaendana na jina na hilo duka . Duka limeanzishwa miaka ya 1980's
huko... soma hapa kwa undani zaidi binamu
K-Lynn is an undercover business | The National
Kutokana na fedheha na aibu iliyonikuta leo mbea maarufu niliyetukuka, nimeamua rasmi kujiuzulu kwenye kiti cha umbea, naombeni mtafute mrithi naona nimeanza ku expire, nimekabidhi kijiti rasmi
Cc Heaven on Earth Evelyn Salt geniveros Ms.Lincoln
humu hakuna wa kukufikia hata robo....Kutokana na fedheha na aibu iliyonikuta leo mbea maarufu niliyetukuka, nimeamua rasmi kujiuzulu kwenye kiti cha umbea, naombeni mtafute mrithi naona nimeanza ku expire, nimekabidhi kijiti rasmi Cc Heaven on Earth Evelyn Salt geniveros Ms.Lincoln
Ebu nitoe tongo tongo mie? Kumbe sio lake? Maana ndio umbea unaonea mujini duka la k lyn dubai kha, nibngekua na mfadhili ningeenda dubai kwa kweli kukamilisha umbea
Natangaza bifu zito na Heaven on Earth, sio kuaibishana uku, nashindwa kumuelewa ujue?
Ningeshangaa kama usingetia timu.
Kutokana na fedheha na aibu iliyonikuta leo mbea maarufu niliyetukuka, nimeamua rasmi kujiuzulu kwenye kiti cha umbea, naombeni mtafute mrithi naona nimeanza ku expire, nimekabidhi kijiti rasmi
Cc Heaven on Earth Evelyn Salt geniveros Ms.Lincoln
tehteh sio kila siku asbh...usitupe mashaka bhana na elimu yako ya umbea tukaanza uliza huyu m PhD huyu kweli au mdegree tu....Kuumbuliwa na kuchambwa kama ivi, yani leo nimeaibikaje? Sura imenshuka apa kama pumb * za mbwa