Picha: K-lynn aanza kuonyesha jeuri ya fedha

Picha: K-lynn aanza kuonyesha jeuri ya fedha

Mke halali wa mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald mengi, jackline ntuyabaliwe aka k -lyn ,ameanza kuonyesha baadhi ya mali anazomiliki, ikiwemo duka la nguo la kifahari (pichani ) lililopo nchini Dubai.

Hivi karibuni watu wanaosemekana kuwa ni maadui wa mwanamama huyo mwenye title ya u bosslady kwa sasa, walimponda msanii huyo kuwa hana lolote apa mjini zaidi ya kumtegemea mumewe ambaye ndiye anayemuweka mjini kwa sasa star huyo.

Inasemekana pia msanii huyo anamiliki mali nyingi na za kutisha ukilinganisha na umri wake mdogo, na amekuwa akifanya siri kuogopa maadui zake kumuandana.

Hata hivyo baadhi ya wadau wamemtaka staa huyo kutoendelea kuonyesha mali anazomiliki kwani kufanya hivyo ni kujiongezea maadui wasiopenda mafanikio yake.

Ukweli Halisi someni hapa
 

Attachments

  • 1429111142443.jpg
    1429111142443.jpg
    55.2 KB · Views: 613
Hahahhaaaa leo nimecheka mno lo warumi ee ajali kazini eee hhhhhaaaaaa Heaven on Earth kaumbua umbea heheeeeeeeeeeè
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha nakuzomea kiroho mbaya "Ooooooooooohhh"

Umbea ukizid unakua mchawi looh, leo Heaven on Earth kaniweza, uwe unakuja pm kunikonyeza bhana, sio kuumbuana ivi jaman loh binamu utanifukuzisha kibarua changu jaman ndo kinaniweka mjini ivooo
 
Last edited by a moderator:
Umbea ukizid unakua mchawi looh, leo Heaven on Earth kaniweza, uwe unakuja pm kunikonyeza bhana, sio kuumbuana ivi jaman loh binamu utanifukuzisha kibarua changu jaman ndo kinaniweka mjini ivooo
ha ha ha nlikua nakuheshimu kwa umbea sahvi sikuheshimu tenaaaaa wiwiwiiiii (in gwajima's voice) ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Umbea kipaji ila kuboronga kupo unajuwa kipaji kikizidi mafuriko pole kwa ajali kazini
 
Kesho na kesho kutwa ataanza kupiga picha mzee mzima akiwa chumbani. Mengi anapaswa kumpiga ban huyu mama kwenye media atamchafua.
 
We jamaa akili zako unazijua mwenyewe..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom