Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Dar ndipo watu wengi walipo. I mean almost marafiki.. serikal.. wafanyakaz wenzie.. wengi wapo dar. Ni bora wakamalize taratib huko then wampeleke bukoba.Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Why??????
Afrika inahitaji watu wenye mtazamo chanya kama wewe.Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Mkoa wa kagera kwa sehemu kubwa kijiografia ni milima hivyo basi chini ya ardhi ni mawe changarawe na miamba migumuMila za kichaga kaburi huchimbwa siku ya mazishi; kama mazishi ni Jumatatu, uchagani kaburi litaanza baada ya saa sita usiku Jumapili.
Hawa vilaza wa wapi Hawa.Toka lini kaburi likalala wazi.Kaburi lafaa kuchimbwa siku anayo zikwa marehemu.
Mbona majeneza yanalala na kushinda wazi?Hawa vilaza wa wapi Hawa.Toka lini kaburi likalala wazi.Kaburi lafaa kuchimbwa siku anayo zikwa marehemu.
Acha matusi ndugu, usilazimishe watu wafuate mila za kwenuHawa vilaza wa wapi Hawa.Toka lini kaburi likalala wazi.Kaburi lafaa kuchimbwa siku anayo zikwa marehemu.
Basi Mila ni tofauti . wahaya kaburi hata ukijichimbia mapema hakuna shidaMila za kichaga kaburi huchimbwa siku ya mazishi; kama mazishi ni Jumatatu, uchagani kaburi litaanza baada ya saa sita usiku Jumapili.
Mila hiyo inashangaza kiukweliUchagani mpaka watu wauone mwili , ikitokea imeahirishwa wanazika mgomba la sivyo inaweza pelekea mauti nyingine kutoka kwenye hiyo familia
Sent from my Iphone using Tapatalk
Nadhani watalijengea Kwa ndanimbona kaburi kubwa sana au ndo mila za kihaya
Nadhani litajengewa Kwa ndaniMbona kaburi ni refu sana kwenda chini?