Picha: Kaburi la Ruge laanza kuchimbwa huko kijijini kwao Bukoba

Hawa vilaza wa wapi Hawa.Toka lini kaburi likalala wazi.Kaburi lafaa kuchimbwa siku anayo zikwa marehemu.
Acha ushamba wa Mila na tamaduni wew.mila zinatofautiana kulingana na kabila.uhayani kaburi unaweza hata jichimbia hata kabla hujafa.kuna koo nyingine zina makaburi Yao tayari sio chida

Pia utaratibu huu sio Kwa wahaya Tu Bali hata wayahudi( waisraeli) kumbuka Yesu alizikwa kwenye kaburi lililokuwepo tayari hivyo sio kitu cha ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahaya ndo maana huwa mnakufa sana mnaishia kusingizia ukimwi. Endeleeni kujifanya wazungu
 
Wahaya ndo maana huwa mnakufa sana mnaishia kusingizia ukimwi. Endeleeni kujifanya wazungu
Kwani wachaga hamfi sana .kaburi wala halina uhusiano na kifo cha mtu .uhayani kuna watu wengi Tu wanafikia miaka 110 na mabibi kizee.kufa hakuna uhusiano na kabila la mtu wala nini.

Kama wahaya wanakufa Sana mbona wahaya sasa wanakaribia milion nane na ni moja ya makabila makubwa nchini Kwa idadi ya watu.

Je kuna uthibitisho wowote kuwa wahaya wanatoweka Duniani?eti kwa sababu ya kuchimba makaburi mapema



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndege iliyobeba hilo jeneza kutoka SA ikipotea hilo kaburi linafukiwa tupu au linasubiri mwingine tena.Heri kuchimba maiti ikishawasili kijijini hapo.
Jamani kagera ni milima yenye mawe, changarawe na miamba hivyo basi inalazimisha kuandaa kaburi mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"oya wewe mimi nimesoma ujue sio kilaza
 
Hawa vilaza wa wapi Hawa.Toka lini kaburi likalala wazi.Kaburi lafaa kuchimbwa siku anayo zikwa marehemu.
Miamba na mawe ndiyo sababu ya kuchimba kaburi mara tu mtu anapofariki na kusubiri siku husika ya mazishi

Zamani ulikuwepo utaratibu wa kuchimba siku ya mazishi sasa kuna mahali walichimba zaidi ya mara 6 wanakutana na mwamba mpaka wakaahirisha kuzika

Ndipo wakabadili taratibu

Halafu punguza nyodo yaweza kuwa we ni kilaza kuliko wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…