Uwe umempendeza Mungu, umewapendeza wanadamu, umeishi kishetani wote tunazikwa palepale udongoni. Uwe tajiri, maskini wote mavumbini tunarudi hii ndio point yanguYaeza ikawa matendo yako yamemridhisha MUNGU zaid kuliko hata huyo unae muhusudu
Sent using Jamii Forums mobile app
FactUwe umempendeza Mungu, umewapendeza wanadamu, umeishi kishetani wote tunazikwa palepale udongoni. Uwe tajiri, maskini wote mavumbini tunarudi hii ndio point yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
ndege gani❓Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Sijui walifikiria nini ? Hata Mie nilishangaa hata ukoo wa mama kanumba ambaye ni muhaya uko so weak.Kwani Kwa mama kanumba uko izigo muleba hakuna makaburi ya ukoo? Utamaduni wa kabila la wahaya tangia zamani ni kuzikwa kwenye za ukoo.Ila nakumbuka kulitokea kamzozo kidogo kwenye msiba wa kanumba kuwa azikwe wap.Wamenifurahisha sana wazazi wa Ruge. Sio kama mama Kanumba. Badala ya mtoto wake kwenda kumzika Shinyanga kwao na ndipo alipo baba yake, au nyumbani kwao huyo mama Bukoba, akazidiwa ujanja na akina Stive Nyerere, na kuamua kumzika Daaaaar!
Mi sijawahi ona nyumba ya ukoo ya wahaya ni mbovu mbovu wengine Wana mpaka maghorofa.vijijini panapendeza zaidi kuliko mjini.Ila sasa njoo Bukoba mjini kusema ukweli wahaya hawajaujenga ipasavyo kama wanavyojenga miji mingine mingi. Kwa wahaya walivyo mji ule ungekuwa mkubwa na mzr zaidi wangeuendeleza ipasavyoHao ndo wahaya,kumbe na wewe uliona eeeh? ILA HAPA NIMEMSIFU PROF WALAU KAJENGA KWAO
Tupe madhara ya kaburi kulala na njaa
Hahaha "Msiba afariki dunia" dah itakuwa mara ya kwanza ambapo msiba utaweza kufariki nao, maana umetuondolea wapendwa wetu wengi na kututia simanzi kwa muda mrefu.Duniani tuwe na kiasi mtu pekee ambaye anaweza asife ni huyu bwana MSIBA mana yeye watasema msiba wa msiba wakati msiba utaendelea kudumu
Aisee wabongo akili zenu hizi dah
Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
Better be humble, usimnyanyase mtu kwa wadhifa ulio nao. Ishi peacefully i believe kuna amali kubwa sana kuishi na wenzio ukiwa forgiving and loving. Tuache ubinafsi walimwengu maana kaburi ndio mwisho wa kila mtu.
Duh, inakuwaje mkuu wa kaya! Nini kitatokea?Kawaida ila pale kaburini lazima palale mgomba ,. Inategemeana na Mila kwingine wanalaza nyama za mbuzi.
Laa sivyo mtakiona Cha Moto.
Sent using Jamii Forums mobile app
tupo tofauti. so relaxNdio hivyo tena! Ila, jamaa zetu Waislamu, huwa hawana mbwembwe za msiba/mazishi kama sisi wakristo! Hapo utaona yametengenezwa mabango, khanga na ma-T-shirt kibao!
HakikaAcha uchawi wa mchana kweupe huko Bukoba ndio alikokuwa na makazi au ni Dar, jamaa wako Dar hivi leo uwaambie anaenda moja kwa moja Bukoba na isitoshe ujue kwamba yeye sio Daudi Balali azikwe bila ndugu jamaa na marafiki kuaga
Kanumba ingewezekana azikwe kwa Wajomba?Sijui walifikiria nini ? Hata Mie nilishangaa hata ukoo wa mama kanumba ambaye ni muhaya uko so weak.Kwani Kwa mama kanumba uko izigo muleba hakuna makaburi ya ukoo? Utamaduni wa kabila la wahaya tangia zamani ni kuzikwa kwenye za ukoo.Ila nakumbuka kulitokea kamzozo kidogo kwenye msiba wa kanumba kuwa azikwe wap.
Hata kifo cha Maria na consolata ambaye mama Yao alikuwa muhaya wa bukoba kulitokea mzozo kidogo wa kuzikwa wap Ila masista walizidi nguvu nao kuzikwa iringa.Ila uhayani utamaduni wa watu kuzikwa kwao unaheshimiwa mno ndo maana watoto wa ukoo fulani wakipata hela ni kujenga nyumba ya ukoo Kwanza ili wasije wakaaibika wakati maziko yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Da beer ! Inauma sanaWachuchu....beer vyote unaacha and so on so forth