Picha: Kaburi la Ruge laanza kuchimbwa huko kijijini kwao Bukoba

Picha: Kaburi la Ruge laanza kuchimbwa huko kijijini kwao Bukoba

Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?
ndege gani❓
 
Wamenifurahisha sana wazazi wa Ruge. Sio kama mama Kanumba. Badala ya mtoto wake kwenda kumzika Shinyanga kwao na ndipo alipo baba yake, au nyumbani kwao huyo mama Bukoba, akazidiwa ujanja na akina Stive Nyerere, na kuamua kumzika Daaaaar!
Sijui walifikiria nini ? Hata Mie nilishangaa hata ukoo wa mama kanumba ambaye ni muhaya uko so weak.Kwani Kwa mama kanumba uko izigo muleba hakuna makaburi ya ukoo? Utamaduni wa kabila la wahaya tangia zamani ni kuzikwa kwenye za ukoo.Ila nakumbuka kulitokea kamzozo kidogo kwenye msiba wa kanumba kuwa azikwe wap.

Hata kifo cha Maria na consolata ambaye mama Yao alikuwa muhaya wa bukoba kulitokea mzozo kidogo wa kuzikwa wap Ila masista walizidi nguvu nao kuzikwa iringa.Ila uhayani utamaduni wa watu kuzikwa kwao unaheshimiwa mno ndo maana watoto wa ukoo fulani wakipata hela ni kujenga nyumba ya ukoo Kwanza ili wasije wakaaibika wakati maziko yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: naa
Hao ndo wahaya,kumbe na wewe uliona eeeh? ILA HAPA NIMEMSIFU PROF WALAU KAJENGA KWAO
Mi sijawahi ona nyumba ya ukoo ya wahaya ni mbovu mbovu wengine Wana mpaka maghorofa.vijijini panapendeza zaidi kuliko mjini.Ila sasa njoo Bukoba mjini kusema ukweli wahaya hawajaujenga ipasavyo kama wanavyojenga miji mingine mingi. Kwa wahaya walivyo mji ule ungekuwa mkubwa na mzr zaidi wangeuendeleza ipasavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani tuwe na kiasi mtu pekee ambaye anaweza asife ni huyu bwana MSIBA mana yeye watasema msiba wa msiba wakati msiba utaendelea kudumu
Hahaha "Msiba afariki dunia" dah itakuwa mara ya kwanza ambapo msiba utaweza kufariki nao, maana umetuondolea wapendwa wetu wengi na kututia simanzi kwa muda mrefu.
 
Hivi ndege toka south africa ingepeleka mwili wa marehemu bukoba moja kwa moja au mwanza airport kuna tatizo gani?kisha kuagwa na kuzikwa.
Kwa nini uletwe dar kisha tena safari ianze kwenda bukoba?

Acha uchawi wa mchana kweupe huko Bukoba ndio alikokuwa na makazi au ni Dar, jamaa wako Dar hivi leo uwaambie anaenda moja kwa moja Bukoba na isitoshe ujue kwamba yeye sio Daudi Balali azikwe bila ndugu jamaa na marafiki kuaga
 
Sijui walifikiria nini ? Hata Mie nilishangaa hata ukoo wa mama kanumba ambaye ni muhaya uko so weak.Kwani Kwa mama kanumba uko izigo muleba hakuna makaburi ya ukoo? Utamaduni wa kabila la wahaya tangia zamani ni kuzikwa kwenye za ukoo.Ila nakumbuka kulitokea kamzozo kidogo kwenye msiba wa kanumba kuwa azikwe wap.

Hata kifo cha Maria na consolata ambaye mama Yao alikuwa muhaya wa bukoba kulitokea mzozo kidogo wa kuzikwa wap Ila masista walizidi nguvu nao kuzikwa iringa.Ila uhayani utamaduni wa watu kuzikwa kwao unaheshimiwa mno ndo maana watoto wa ukoo fulani wakipata hela ni kujenga nyumba ya ukoo Kwanza ili wasije wakaaibika wakati maziko yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanumba ingewezekana azikwe kwa Wajomba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom