Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Katupwa leo tena wameendelea kukamatwa..Wakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Namna ya kupata mitano tena ,Tlaatlaaah,Luca,Choice,Kipara Mupya haya ndiyo munayo hubiri kwa nguvu zenu zote.Nawaombea kwa Mungu atende jambo juu yenu na mkumbuke kuwa yupo na anatenda kwa wakati wake.Wakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Na hao wapigaji dizaini yao moja tu kwa watu wote...Wakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
ndo code yao ya upigaji yale majambazi ya ccm yaliyovaa mavazi ya polisiNa hao wapigaji dizaini yao moja tu kwa watu wote...
Ukiangalia kivingine inakujia yule aliyekula chips huku kazimia juu ya boda boda..o
ndo code yao ya upigaji yale majambazi ya ccm yaliyovaa mavazi ya polisi
Mapaja kama mpingoMapaja ya kichaga mabaya
Ajabakwa kweli......pole yake aiseeWakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
hivi anae wachora na kuwawekea hizo alama za michubuko kama ya kuanganguka na kuburuzwa na bodaboda nani hua anawachora?Wakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Keyboard warriors mnamikwara sana mitandaoni waseme jambo mara ngapi mbona hata jana wamewaita muende kisutu ila wewe hujaenda umejificha nyuma ya keyboard kupiga mikwaraChadema waseme jambo tu,tuingie mapambano ya namna yake
Safi sana.tandika kabisa.Wavuruga amani haoWakuu
Upendo Kileo, mwanachama na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alifika jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
View attachment 3315050
Upendo anadai alikamatwa na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa vyombo vya dola, akapigwa, akateswa na baadaye kutupwa katika msitu wa Pande.
View attachment 3315051
View attachment 3315052
Anaonyesha ulimwengu jinsi serikali yenu dhalimu ya ccm inavyofanyakazi.Kayaanika ya nini sasa,? Hayo mapaja ?
Anamuanikia nani?
Tandika kabisa.Wavuruga amani hao.Huyu mama wa kizimkazi ni muuaji. She is a butcher. Mikono yake imeoloa damu.
Yuko tayari kuchinjachinja mtu yeyote kwa ajili ya power.
Shame on her
Tandika kabisa Wavuruga amani haoAnaonyesha ulimwengu jinsi serikali yenu dhalimu ya ccm inavyofanyakazi.
Mwanakulitafuta , mwanakulipata !Wakuu