PreGE2025 PICHA: Kada wa CHADEMA Upendo Kileo ateswa na kutupwa Msituni baada ya kufuatilia Kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
sio vizuri kuwahadaa wazazi wa watu na mabibi wa wajukuu tena waliojichokea tangu kitambo, eti kamanda, alaaa?

kamanda gani mbibi hivyo ndungu zangu wadau?🐒
Sio kamanda tuu ni steering hauwawi hata akiuawa ni mateso tuu!Ndiyo huyu,Yatakwisha.
 
Kwamba Serikali ni wajinga wawaache mkusanyoke Ili mlete vurumai viwanja vya mahakama si ndio?

Kawaulizeni wale Wapinzani wa Turkey kilichowalita na Kiongozi wao Yuko ndani na ana kesi kama Lisu.
Wewe Sasa Ndio mjinga, Kuna vulugu ililetwa mahakamani au Upambe tuu, unaongea!
 
Kwamba Serikali ni wajinga wawaache mkusanyoke Ili mlete vurumai viwanja vya mahakama si ndio?

Kawaulizeni wale Wapinzani wa Turkey kilichowalita na Kiongozi wao Yuko ndani na ana kesi kama Lisu.
Kuwa ndani sio Hukumu!
 
Iwe fundisho kwa wengine wanao jaribu kuchezea AMANI ya NCHI.
utakula kichapo cha mbwa koko.
MAREKANI kwanyewe ukileta ujuaji unakula kipondo.... hakuna kuchekeana.
 
Kama ni biashara kujianika mapaja hivyo imebuma hakuna mwanaume anahitaji mapaja hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…