Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lini CHADEMA waliandamana wakafanya fujo?? Kuwa mkweliKwani polisi wana shida gani mkiandamana bila kufanya fujo? Jaribuni kuanzisha vurugu mkione kilichomtoa kanga manyoya. Kipigo cha mbwa koko kitawahusu.
Nini kilifanya tundu lisu akambilia ubalozi wa ujerumani? Kuwa mkweliLini CHADEMA waliandamana wakafanya fujo?? Kuwa mkweli
Aiseeee! Alifanya vurugu kwenye maandamano? KWELI kabisa unaandika kitu kama hicho?Nini kilifanya tundu lisu akambilia ubalozi wa ujerumani? Kuwa mkweli
Tayari simu ya uhamisho ishapigwa,kapelekwa HQ Dodoma kusoma magazeti.Soon tutasikia huyo kamishna wa jeshi hilo amehamishiwa lindi, mtwara, tandahimba au rufiji...😂
Waliokuwa wanatoa kauli za "hapatakalika" ni akina nani? Au umesahau?!Aiseeee! Alifanya vurugu kwenye maandamano? KWELI kabisa unaandika kitu kama hicho?
Walipozitoa ikawaje?? Kauli Ndio vurugu? Nataka unipe mfano wa vurugu ambazo zimesababishwa na maandano ya CHADEMA.Waliokuwa wanatoa kauli za "hapatakalika" ni akina nani? Au umesahau?!
Unataka kuweka bondi marinda Yako!?Huyo dada pembeni ya mbowe ameolewa
jibu swali acha makasirikio maana kwa kuvunja ndoa za watu hamjambo kisa viti maalumUnataka kuweka bondi marinda Yako!?
Leo hutuletei habari za Makonda?Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama .
Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi napinga, na naamini Polisi wanakuwa kwenye Maandamano haya ili kutimiza majukumu yao ya Ulinzi na Usalama.
Ulitaka mtoe kauli za kutishia amani na usalama halafu polisi wawachekee siyo?Walipozitoa ikawaje?? Kauli Ndio vurugu? Nataka unipe mfano wa vurugu ambazo zimesababishwa na maandano ya CHADEMA.
Kama kauli ni vurugu, vipi kauli za "kipumbavu" za Viongozi wa CCM kila siku dhidi ya CHADEMA??
Hapa sasa ndio umeeleza kiwango chako cha uelewa. SawaUlitaka mtoe kauli za kutishia amani na usalama halafu polisi wawachekee siyo?
Kipigo cha mbwa koko kingewahusu.
sijawai ona maandamano ya fujo nchi hii , bali polisi ndo husababisha maandamano ya amani kuwa ya fujoKwani polisi wana shida gani mkiandamana bila kufanya fujo? Jaribuni kuanzisha vurugu mkione kilichomtoa kanga manyoya. Kipigo cha mbwa koko kitawahusu.