Picha kali ya wiki hii hapa, Maandamano ya CHADEMA Kahama

Malizia maandamano haya yamekujia kwa hisani ya Dr Samia Suluhu Hassani!
 
Demokrasia ni raha kwa watu woote.
 
Ulitaka mtoe kauli za kutishia amani na usalama halafu polisi wawachekee siyo?
Kipigo cha mbwa koko kingewahusu.
Unateseka ukiwa wapi Mkuu? Wafuasi wa mtu yule mnatamani sana damu zimwagike.....Shetani ameshindwa awamu hii tumemfunga minyororo.
 
Kwani polisi wana shida gani mkiandamana bila kufanya fujo? Jaribuni kuanzisha vurugu mkione kilichomtoa kanga manyoya. Kipigo cha mbwa koko kitawahusu.
Sasa kilichowafanya polisi washindwe kufanya hivi kipindi cha mwendazake ni nini? Jibu lako lilatoa picha kama wewe ni mwerevu au ni mpumbavu na majibu utayapata hapa hapa. Jibu tafadhali!
 
Sasa kilichowafanya polisi washindwe kufanya hivi kipindi cha mwendazake ni nini? Jibu lako lilatoa picha kama wewe ni mwerevu au ni mpumbavu na majibu utayapata hapa hapa. Jibu tafadhali!
Akikujibu na mimi unishtue
 
Wameruhusiwa kuingia na bunduki chumba Cha kupigia kura,

Hilo nalo mkalitizame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…