Picha: Kama taifa tumepitia katika nyakati za ovyo Sana

Magufuli ndo ilikua paraketer nzuri ya kusimamia tunapodai katiba mpya!! Imagine mtu kama Kangi Lugola alikua tayari kuonekana hayawani mbele ya watoto wake ili amfurahishe Magufuli..

Nchi yote ilinyamaa hata wale tuliowaona wamaana walianza imba pambio zake...

Hii nchi inahitaji katiba mpya vinginevyo atakuja tokea kichaa mara kumi ya mwendazake.
 
Hii nchi inahitaji katiba mpya vinginevyo atakuja tokea kichaa mara kumi ya mwendazake.
Huu wimbo wa katiba mpya hivi sasa unaimbwa na kila mtu, hata waliopo ccm.

Ukitafuta mazuri ya dikteta jiwe utalipata moja tu, nalo ni kutuonesha namna katiba yetu ilivyo ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…