Picha: Kama taifa tumepitia katika nyakati za ovyo Sana

Picha: Kama taifa tumepitia katika nyakati za ovyo Sana

Hahaaaa. Mleta mada unateseka ukiwa wapi?
Hakika Magufuli alikuwa mwamba. Hadi leo kuna wahuni wanateseka usiku na mchana kwa sababu yake.

Viva Magufuli
 
Jamani si tulishakubaliana kuwa tumwache sasa mzee wetu apumzike?.Tumuache jamani,kila mtu ana mapungufu yake tuombeane tu mwisho mwema maana kila mtu atakufa.
 
Jamani si tulishakubaliana kuwa tumwache sasa mzee wetu apumzike?.Tumuache jamani,kila mtu ana mapungufu yake tuombeane tu mwisho mwema maana kila mtu atakufa.
Dikteta huyu atatukanwa mpk Yesu atakaporudi.
 
Dikteta huyu atatukanwa mpk Yesu atakaporudi.
Haitakusaidia,maana yeye ameshamaliza safari yake na inawezekana Mungu ameshamsamehe mapungufu yake.Kumbe ni bora kutumia muda huu kujipatanisha na Mungu wetu badala ya kupoteza muda kumtukana Mtu aliyekwisha jifia.
 
Nchi ngumu Sana hii[emoji38]
JamiiForums34360780.jpg
 
Siasa za uchawa zinalighalimu hili Taifa.
 
Back
Top Bottom