PICHA: Kama unalijua hili tangazo, punguza ulaji wa chumvi na sukari, ongeza mazoezi

PICHA: Kama unalijua hili tangazo, punguza ulaji wa chumvi na sukari, ongeza mazoezi

Tuliotumia Sh 100 ya masai sijui tuko kwenye group gani
Chumvi lazima, sukari kwa sana na mazoezi zaidi ya kutembea hamna kingine
Nina over 65 sina hata pressure ya hasira
Noti ya masai miaka ya '70 hiyo mzee.

Sasa wanataka kutuletea ya elf 10 ya kijani yenye picha ya Samia, upande wa pili mitambo ya kufua umeme(Nhp).

Ilivujishwa juzi humu humu Jf, kama ilivyo kawaida yao, wakajitokeza haraka haraka kukanusha, sasa kwa tangazo la juzi wanataka kula matapishi yao.
 
Tuliotumia Sh 100 ya masai sijui tuko kwenye group gani
Chumvi lazima, sukari kwa sana na mazoezi zaidi ya kutembea hamna kingine
Nina over 65 sina hata pressure ya hasira
Hongera ndugu.
Watu wanasahau jambo hili muhimu:
Adui wa mtu mwingine Sio lazima awe adui yako pia. Japokuwa ni vizuri busara ikatuelekeza kuwa makini sana na mtu ambaye inaonekana ana maadui wengi. Hivyo kwa kuwa wataalamu wamefanya utafiti wa Kisayansi, na kugundua kwamba matumizi ya chumvi na sukari iliyozidi kiwango kwenye vyakula na vinywaji ni hatari kwa afya, hasa kwa watu wenye umri mkubwa, basi ni vema kutumia chumvi na sukari kiasi kidogo, ili tusihatarishe afya zetu kwa uzembe.
 
Humu JF wapo mpaka watu Wana miaka5 na tangazo wanalijua.
Hili tangazo vijana at late 29'S and early 30'S wanalijua maana ilikua kama katuni kwao enzi ni wakiwa na miaka5 au6.

Labda useme tangazo la miaka ya themanini au tisini mwanzo
Uko sahihi kabisa. I am in my very early 30s na hilo tangazo nalijua. Kama mimi mwenye 30s za mwanzo ni mzee basi wenye 20 hawana muda mrefu kuufikia uzee pia.
 
TV kwetu tumeipata 2007😂Dah mpaka Leo ipo ni nzima nimeitunza wanangu wataikuta na kuna friji la mjapani
Mwaka 98 kombe la dunia tumecheki nyumbani enzi izo tv station ni mbili za ITV,TBT, Channel 10 free mnaweka antenna ndefu Sanaa 😊 juu ya bati.

Other wise muangalie cassette za 📼 VHS

Hapo 2007 kulikua na CD na DVD KABISA NI BALAA
 
Back
Top Bottom