GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Sawa Dr. Janabi.Kama unalimanya vema hili tangazo pendwa basi uzee umeshakufikia. Tunza afya. Fanya mazoezi, punguza ugimbi, sukari, chumvi na mafuta. Piga mambogamboga, mabilinganya nk View attachment 3137992
Noti ya masai miaka ya '70 hiyo mzee.Tuliotumia Sh 100 ya masai sijui tuko kwenye group gani
Chumvi lazima, sukari kwa sana na mazoezi zaidi ya kutembea hamna kingine
Nina over 65 sina hata pressure ya hasira
Miaka 20 na Zaid mkuu πHili tangazo ni la juzi tu hapa si muda mrefu.
Nzovwe.Mbeya ipi hiyo, hao vipisi vifupiΓ2? Uwe serious
Omar kazi ni kujikuna tu ngwaraa ngwaraaa Haya chukua upeleke kulee πππ hivi lilikuwa tangazo la nini hili? nilkuwa primary nimesahau la kitu gani!
Hongera ndugu.Tuliotumia Sh 100 ya masai sijui tuko kwenye group gani
Chumvi lazima, sukari kwa sana na mazoezi zaidi ya kutembea hamna kingine
Nina over 65 sina hata pressure ya hasira
Uko sahihi kabisa. I am in my very early 30s na hilo tangazo nalijua. Kama mimi mwenye 30s za mwanzo ni mzee basi wenye 20 hawana muda mrefu kuufikia uzee pia.Humu JF wapo mpaka watu Wana miaka5 na tangazo wanalijua.
Hili tangazo vijana at late 29'S and early 30'S wanalijua maana ilikua kama katuni kwao enzi ni wakiwa na miaka5 au6.
Labda useme tangazo la miaka ya themanini au tisini mwanzo
πDah mm yule nilijua Ana miaka labda 33 hvWatu wa Mbeya wana miili mikubwa ,just imagine SATIVA17 ana miaka 27 tu.
TV kwetu tumeipata 2007πDah mpaka Leo ipo ni nzima nimeitunza wanangu wataikuta na kuna friji la mjapaniMiaka 20 na Zaid mkuu π
Mambo ya jackpot bingo
Enzi izo kwenu mkiwa na tv ni matajir βΊοΈπ
Mwaka 98 kombe la dunia tumecheki nyumbani enzi izo tv station ni mbili za ITV,TBT, Channel 10 free mnaweka antenna ndefu Sanaa π juu ya bati.TV kwetu tumeipata 2007πDah mpaka Leo ipo ni nzima nimeitunza wanangu wataikuta na kuna friji la mjapani
SabuniOmar kazi ni kujikuna tu ngwaraa ngwaraaa Haya chukua upeleke kulee πππ hivi lilikuwa tangazo la nini hili? nilkuwa primary nimesahau la kitu gani!
Wakina Janet Sostenes Mwenda π₯π₯ nilikuwa natamani nikue haraka maana niliona wakubwa wana faidiKama unalimanya vema hili tangazo pendwa basi uzee umeshakufikia. Tunza afya. Fanya mazoezi, punguza ugimbi, sukari, chumvi na mafuta. Piga mambogamboga, mabilinganya nk View attachment 3137992
Siyo tangazo la sabuni ya protex kweli πSikumbuki vizuri nadhani lilikuwa la Dawa ya ngozi kuwasha.
Kitambo sana nishalisahau lilikuwa la nini.Siyo tangazo la sabuni ya protex kweli π