DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Daah sio rahisi aise
[emoji16][emoji16][emoji16]Mbona chuchu zimekaa upande?
Sasa kwa wanaume wa Dar unategemea kupata mlinzi hata wa kuzuia Mbu asimng'ate mtoto?Sijaona walinzi wa kumzuia Scorpion
Aaaaaaaaaah wapi, ww acha kuntibua nyongo[emoji12] [emoji12] [emoji12] ....nisha save kwa gallery kitambo sanaMbona chuchu zimekaa upande?
Uyo kim kavaa Kama homeless jamani hatari
mkuu umeenda mbaliMwisho watamgongea mke
Hahahaa pesa ipo mkuu hadi hawajui nyingine wazifanyie nini kwaio wanajaribu kuzipunguzadah hv ni kweli wengne duniani tunasindikiza tu? anyway kanye naye anajitia mbwembwe tu kwa huyo mke wake ndo wakwanza kuporwa? na hao ni vibaka tu, ingekua majambazi je, si ndo angetafuta dunia yake na demu wake!
mm siyaelewagiHii couple mavazi yao ni pasua kichwa
Africa majungu kila kukichaUlaya raha Sana