PICHA: Kanye West na mkewe wajiongezea ulinzi maradufu

majamaa wakiamua wanakulipua tu hata ulinzi uweje pentagon ililipuliwa na ulinz wa kutosha
 
dah hv ni kweli wengne duniani tunasindikiza tu? anyway kanye naye anajitia mbwembwe tu kwa huyo mke wake ndo wakwanza kuporwa? na hao ni vibaka tu, ingekua majambazi je, si ndo angetafuta dunia yake na demu wake!
 
Hahahaa pesa ipo mkuu hadi hawajui nyingine wazifanyie nini kwaio wanajaribu kuzipunguza
 
Back
Top Bottom