Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Tizama watu walivyo na furaha utafikiri wapo kwenye sherehe kumbe sehemu ya hukumu.
Tizama watu walivyo na furaha utafikiri wapo kwenye sherehe kumbe sehemu ya hukumu.
View attachment 3541543View attachment 3541544View attachment 3541545View attachment 3541546View attachment 3541547View attachment 3541548
Abarikiwe sana Mhe.Bwege. Wenye kupenda haki bado ni wengi sana nchini.Mpaka Mzee Bwege na ugonjwa wake kaamua kuhudhuria ina maana kubwa sana hii
sure,Tizama watu walivyo na furaha utafikiri wapo kwenye sherehe kumbe sehemu ya hukumu.
View attachment 3541543View attachment 3541544View attachment 3541545View attachment 3541546View attachment 3541547View attachment 3541548

Mnapaswa kuwasifia watanzania waliohudhuria kwa wingi kuliko hao wageni.Tizama watu walivyo na furaha utafikiri wapo kwenye sherehe kumbe sehemu ya hukumu.
View attachment 3541543View attachment 3541544View attachment 3541545View attachment 3541546View attachment 3541547View attachment 3541548
Mnapaswa kuwasifia watanzania waliohudhuria kwa wingi kuliko hao wageni.
Amandla...
KabisaAbarikiwe sana Mhe.Bwege. Wenye kupenda haki bado ni wengi sana nchini.
sure,
wengi ni mabwenyenye ya magaharibi ambao wamakuja kumsabahi kibaraka wao ambae amenaswa na sheria na hakuna namana ya kumnasua. wengine ni mamluki tu![]()
sure,
wengi ni mabwenyenye ya magaharibi ambao wamakuja kumsabahi kibaraka wao ambae amenaswa na sheria na hakuna namana ya kumnasua. wengine ni mamluki tu![]()
Tizama watu walivyo na furaha utafikiri wapo kwenye sherehe kumbe sehemu ya hukumu.
View attachment 3541543View attachment 3541544View attachment 3541545View attachment 3541546View attachment 3541547View attachment 3541548
Mpaka mwisho wa dunia, kamwe Lissu hawezi kuwa Rais wa TZ. Kinachowezekana ni kuifuata familia yake Ubelgiji. Na ile hadhi ya ukimbizi aliyeomba imeshaiva, kapatiwa tayari. Yeye ni kusepa tu huko.Lissu ni Rais ajae
Wewe ni mtu mjinga tu mmoja. Inaelekea hata hujui ukimbizi unaombwaje.Mpaka mwisho wa dunia, kamwe Lissu hawezi kuwa Rais wa TZ. Kinachowezekana ni kuifuata familia yake Ubelgiji. Na ile hadhi ya ukimbizi aliyeomba imeshaiva, kapatiwa tayari. Yeye ni kusepa tu huko.
Ni kawaida, mtu unapogundua hupendwi unahamisha hasira kwa anayependwa badala ya kujirekebisha na wewe upendwe.Vibe kama lote, lissu mwenyewe kaachia tabasamu kana kwamba hayuko ndani ya tentancle cage. Ujumbe umefika kwa watawala ila watazuga hawaelewi kitu!