Picha: Kesi ya Lissu imehudhuriwa na watu mbalimbali wengine kutoka nje ya nchi

Picha: Kesi ya Lissu imehudhuriwa na watu mbalimbali wengine kutoka nje ya nchi

Yaani Tabasamu la Lissu, Anavyowqpeleka mchaka mchaka mawakili wa serikali, hamasa ya watu na muitikio wa watu wa Mataifa mbalimbali. Hii ni ishara mbaya sana kwa aliyeitunga hii kesi ya mchongo.
 
Tlaatlah, what you have put here is a Very stupid comment.

Watanzania wengi, kama walivyo wanadamu wengi, wanapenda haki, na wanaudhiwa na ushetani unaoendelea nchini. Mwanadamu kiasili anapenda haki kwa sababu Mungu aliyemwumba ni BWANA wa haki. Ni majitu machache yaliyoharibiwa ubinadamu wao, ndiyo haya yanayopenda dhuluma. Hayo majitu kwa sababu yamepoteza ile asili yao, ndiyo maana yanaweza kuua na mengine yanafurahia wanadamu wanapouawa kwa uonevu.
Tunaomba Mungu azidi kumbariki, kumlinda na kumneemesha Tundu Lisu; na kuwaabisha madhulumati yote.
don't panic gentleman, relax. That is the nature of the truth.
Tundu lisu ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi. Ni mkiuka sheria za nchi kwa makusudi, ni muhaini ambae anastahili haki ya hukumu ya kunyongwa hadi kurest in peace.

wale mamaluki wa huyo kibaraka lisu unaosema ni wapenda haki, walishapata haki wanayostahili pale walipojifanya wao ni magaidi na wenye haki ya kupora mali za watu, kuchoma mali za watu, kukata wapiga kura mikono na kuwachoma visu, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi, kuleta fujo na vurugu maeneo mbalimbali nchini.
haki ya malofa kama hao ni kupeleka zawadi za huzuni kwa familia zao tu na hakuna kingine gentleman :CouldYouNot:
 
Back
Top Bottom