Picha: Kesi ya Lissu imehudhuriwa na watu mbalimbali wengine kutoka nje ya nchi

Yaani Tabasamu la Lissu, Anavyowqpeleka mchaka mchaka mawakili wa serikali, hamasa ya watu na muitikio wa watu wa Mataifa mbalimbali. Hii ni ishara mbaya sana kwa aliyeitunga hii kesi ya mchongo.
 
don't panic gentleman, relax. That is the nature of the truth.
Tundu lisu ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi. Ni mkiuka sheria za nchi kwa makusudi, ni muhaini ambae anastahili haki ya hukumu ya kunyongwa hadi kurest in peace.

wale mamaluki wa huyo kibaraka lisu unaosema ni wapenda haki, walishapata haki wanayostahili pale walipojifanya wao ni magaidi na wenye haki ya kupora mali za watu, kuchoma mali za watu, kukata wapiga kura mikono na kuwachoma visu, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi, kuleta fujo na vurugu maeneo mbalimbali nchini.
haki ya malofa kama hao ni kupeleka zawadi za huzuni kwa familia zao tu na hakuna kingine gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…