Picha: Kiba akiwa na familia ya Zari

Mkuu mbona unaanza kuropoka kama umeshikiliwa Mpini kwa nyuma. Mi mtoto wa kiume na naomba tuheshimiane.

Mimi nasema kuhusu demu ambaye Diamond kashakula ndipo Alikiba anafyata kwa nyuma.

Nitajie demu ambaye Alikiba kashakula alafu ndipo Diamond akaenda kujikomba humo.

Acha hasira na andika kwa Staha.
 
Diamond ananikela kwa kufanya mabifu ya kijinga na kuongea ongea mambo ya kiswahili kama mcheza kigodoro
Kwa level yake alitakiwa awe makini hata kupost jambo Instagram sasa kwa tabia zake anapost hadi utumbo.
Diamond badilika sasahivi una status kubwa kwenye tasnia ya muziki na taifa mambo ya tandale acha.
 
Hivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
Wajanja tumekushtukia umeumia kimoyo moyo baada ya Alikiba kumaliza kwa Queen darlin(dada yake diamond)..Alikiba anaanza kunyemelea ukweni sasa anataka kutengeneza heshima, sio tu kwenye mziki bali hata kwenye sekta nyeti.
--Huyu jamaa ni King aseeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
Ipo
Na uache mahaba ya kijinga
 
For the first time umeongea ujinga, yaan completely non sensical sh*t

You are better than that
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anajua kinachofuata baada ya hiyo post chokonozi.
-Ameamua kujilinda kwa style hiyo.
**siyo mbaya leo nimeshindwa, nitamkamata nyuzi nyingine
Kuna mtu ka hack account ya supermarket anataka kutugombanisha au mwenye account leo haja amka vizuri ana taka ku pick fights.
 
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…