Picha: Kiba akiwa na familia ya Zari

Picha: Kiba akiwa na familia ya Zari

Wazo zuri, halafu ukute wanafungia hata zile baraka ndogo ndogo za mwenyez Mungu tuu, wangepatana wange advance zaidi.

Pia wangeacha mwanya wa sisi kuwazungumzia wasanii wengine wadogo wadogo rather than wao.
-Kabisa mkuu.
-Kuna wasanii wanaimba vizuri sana kama/kuliko diamond na Alikiba hawapati airtime na sapot ya kutosha kwa mashabiki.
Mfano;
-Ben pol
-Barnaba
-Steve rnb
-Cassim Mganga
**mazingira yaliyopo kwa sasa ili upate kick na sapot inabidi msanii awe upande wa team kiba au team diamond kitu ambacho kinazidi kinawafanya wanapoteza zaidi mashabiki wa team pinzani.
 
Ujue hawa jama imefika stage ni kama Ronaldo na Messi kwenye mpira sasa hata mtu mwingine ajitutumuaje
Tutaongelea wimbo wake siku 1, siku 6 tutaendelea diamond vs AK.

Hii ingeisha asee ingekuwa poa sana
 
Sijakuona kosa bado ni tatizo la fikra mbovu za watu wanaowaza kuhusu alikiba na diamond baada ya kuwaza maisha Yao, hujui nani kaomba apige picha na nani, kiba ugonvi na familia ya kina zari
 
It was a joke[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Don tek it sirias mkuu
Iceman 3D ni zaidi ya ndugu
Ila nimefurahi, kumbe nyie ni team pinzani!!! Kama mimi na rafiki yangu chige[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Haya mambo yapo, ili kiwa ni katika kuchangamsha uzi tuu.
 
HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZI

Jaribu Kumwita Mpenzi Wako "My Sweet Potato" Atakuelewa Ila Mwite Kwa Kiswaili " Kiazi Wangu Mbatata" Hiyo Itakuwa Vita Ya Tatu Ya Dunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe sijaelewa
 
Ujue hawa jama imefika stage ni kama Ronaldo na Messi kwenye mpira sasa hata mtu mwingine ajitutumuaje
Tutaongelea wimbo wake siku 1, siku 6 tutaendelea diamond vs AK.

Hii ingeisha asee ingekuwa poa sana
Ili uteam uiishe itumike njia mbadala;
-Alikiba na Diamond wawe tayari
-wapatikane vingozi wenye hekma na busara waziite pande 2
-mass media na social media zisishabikie utengano.
-mashabiki waamue binafsi kufuta u-team
-Au Kama unavyojua mafahari wawili hawakai zizi moja, itumike njia ya team moja ikubali kushindwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alikiba bhanah! Daah,anafata nyayo za Diamond tu.

Diamond katembea ba Jokate,naye huyo kajipendekeza. Diamond kamtema Wema,naye huyo kaanze naye Urafiki. Diamond kamzalisha Zari,naye huyo anawatafuta urafiki na wadogo zake na Zarinah.

Aisee,aya bhanah! Kila la kheri Kibakuli.

Hata hao diamond aliyepitia watu walipita zamani tena Kama kwa zari watu wamechafua hasa kumechafuka
 
03cbb746edcc94c2bf5c388e78aba3f3.jpg
Mulnutrion,
 
Mkuu mbona unaanza kuropoka kama umeshikiliwa Mpini kwa nyuma. Mi mtoto wa kiume na naomba tuheshimiane.

Mimi nasema kuhusu demu ambaye Diamond kashakula ndipo Alikiba anafyata kwa nyuma.

Nitajie demu ambaye Alikiba kashakula alafu ndipo Diamond akaenda kujikomba humo.

Acha hasira na andika kwa Staha.
wolper
 
Wolper, alikuwa Kiba akafuatia Domo
 
Back
Top Bottom