supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
-Kabisa mkuu.Wazo zuri, halafu ukute wanafungia hata zile baraka ndogo ndogo za mwenyez Mungu tuu, wangepatana wange advance zaidi.
Pia wangeacha mwanya wa sisi kuwazungumzia wasanii wengine wadogo wadogo rather than wao.
-Kuna wasanii wanaimba vizuri sana kama/kuliko diamond na Alikiba hawapati airtime na sapot ya kutosha kwa mashabiki.
Mfano;
-Ben pol
-Barnaba
-Steve rnb
-Cassim Mganga
**mazingira yaliyopo kwa sasa ili upate kick na sapot inabidi msanii awe upande wa team kiba au team diamond kitu ambacho kinazidi kinawafanya wanapoteza zaidi mashabiki wa team pinzani.