Picha: Kiba akiwa na familia ya Zari

Picha: Kiba akiwa na familia ya Zari

Asee mgoja nika i revist maana hawa jamaa kumbukumbu hazioneshi kama waliwahi hata kusalimiana
1effff49e6dbd20e628e3adfd3a0fce9.jpg
 
Acha povu zisizo na msingi mtoto wa kiume sijui wa kikia we na blazamen wako msubiri kuitwa anko to,kabla ya diamond kanumba kaburuza sana wema,hashim kwa jokate ndo usiseme taja dem ambaye diamond alimkuta bikira apa mjini ndo useme kiba anafata nyayo,hamna hamna diamond kwa wema anaweza kuwa wa 84 kati ya wale 122.
Mkuu mbona unaanza kuropoka kama umeshikiliwa Mpini kwa nyuma. Mi mtoto wa kiume na naomba tuheshimiane.

Mimi nasema kuhusu demu ambaye Diamond kashakula ndipo Alikiba anafyata kwa nyuma.

Nitajie demu ambaye Alikiba kashakula alafu ndipo Diamond akaenda kujikomba humo.

Acha hasira na andika kwa Staha.
 
Diamond ananikela kwa kufanya mabifu ya kijinga na kuongea ongea mambo ya kiswahili kama mcheza kigodoro
Kwa level yake alitakiwa awe makini hata kupost jambo Instagram sasa kwa tabia zake anapost hadi utumbo.
Diamond badilika sasahivi una status kubwa kwenye tasnia ya muziki na taifa mambo ya tandale acha.
 
Hivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
Wajanja tumekushtukia umeumia kimoyo moyo baada ya Alikiba kumaliza kwa Queen darlin(dada yake diamond)..Alikiba anaanza kunyemelea ukweni sasa anataka kutengeneza heshima, sio tu kwenye mziki bali hata kwenye sekta nyeti.
--Huyu jamaa ni King aseeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
Ipo
Na uache mahaba ya kijinga
 
Wajanja tumekushtukia umeumia kimoyo moyo baada ya Alikiba kumaliza kwa Queen darlin(dada yake diamond)..Alikiba anaanza kunyemelea ukweni sasa anataka kutengeneza heshima, sio tu kwenye mziki bali hata kwenye sekta nyeti.
--Huyu jamaa ni King aseeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
For the first time umeongea ujinga, yaan completely non sensical sh*t

You are better than that
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anajua kinachofuata baada ya hiyo post chokonozi.
-Ameamua kujilinda kwa style hiyo.
**siyo mbaya leo nimeshindwa, nitamkamata nyuzi nyingine
Kuna mtu ka hack account ya supermarket anataka kutugombanisha au mwenye account leo haja amka vizuri ana taka ku pick fights.
 
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom