supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
-Kabisa mkuu.Wazo zuri, halafu ukute wanafungia hata zile baraka ndogo ndogo za mwenyez Mungu tuu, wangepatana wange advance zaidi.
Pia wangeacha mwanya wa sisi kuwazungumzia wasanii wengine wadogo wadogo rather than wao.
It was a joke[emoji23] [emoji23] [emoji23]Damn!!!!
Mbona kama siamini majicho yangu!!!!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Damn!!!!
Mbona kama siamini majicho yangu!!!!
Ujue hawa jama imefika stage ni kama Ronaldo na Messi kwenye mpira sasa hata mtu mwingine ajitutumuaje-Kabisa mkuu.
-Kuna wasanii wanaimba vizuri sana kama/kuliko diamond na Alikiba hawapati airtime na sapot ya kutosha kwa mashabiki.
Mfano;
-Ben pol
-Barnaba
-Steve rnb
-Cassim Mganga
**mazingira yaliyopo kwa sasa ili upate kick na sapot inabidi msanii awe upande wa team kiba au team diamond kitu ambacho kinazidi kinawafanya wanapoteza zaidi mashabiki wa team pinzani.
Ila nimefurahi, kumbe nyie ni team pinzani!!! Kama mimi na rafiki yangu chige[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]It was a joke[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Don tek it sirias mkuu
Iceman 3D ni zaidi ya ndugu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Haya mambo yapo, ili kiwa ni katika kuchangamsha uzi tuu.
Siku nyingine msirudie kuwafurahish wabaya wenu, muongelee mle ndani yaishie mule muleAah
Ahsante kwa kuja mamie, [emoji28]
Ilikuwa ni mis communication tuu na kaka yangu supermarket, still he z my super bro, yameisha
Mwenyewe sijaelewaHUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZI
Jaribu Kumwita Mpenzi Wako "My Sweet Potato" Atakuelewa Ila Mwite Kwa Kiswaili " Kiazi Wangu Mbatata" Hiyo Itakuwa Vita Ya Tatu Ya Dunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili uteam uiishe itumike njia mbadala;Ujue hawa jama imefika stage ni kama Ronaldo na Messi kwenye mpira sasa hata mtu mwingine ajitutumuaje
Tutaongelea wimbo wake siku 1, siku 6 tutaendelea diamond vs AK.
Hii ingeisha asee ingekuwa poa sana
Alikiba bhanah! Daah,anafata nyayo za Diamond tu.
Diamond katembea ba Jokate,naye huyo kajipendekeza. Diamond kamtema Wema,naye huyo kaanze naye Urafiki. Diamond kamzalisha Zari,naye huyo anawatafuta urafiki na wadogo zake na Zarinah.
Aisee,aya bhanah! Kila la kheri Kibakuli.
Duh[emoji2] [emoji2] [emoji2]HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZI
Jaribu Kumwita Mpenzi Wako "My Sweet Potato" Atakuelewa Ila Mwite Kwa Kiswaili " Kiazi Wangu Mbatata" Hiyo Itakuwa Vita Ya Tatu Ya Dunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mulnutrion,
Unajua maana ya familia MKUU?
Wamependeza wenyewe.......
Neno lolote kwao.....
Kwa wako vpHata hao diamond aliyepitia watu walipita zamani tena Kama kwa zari watu wamechafua hasa kumechafuka
wolperMkuu mbona unaanza kuropoka kama umeshikiliwa Mpini kwa nyuma. Mi mtoto wa kiume na naomba tuheshimiane.
Mimi nasema kuhusu demu ambaye Diamond kashakula ndipo Alikiba anafyata kwa nyuma.
Nitajie demu ambaye Alikiba kashakula alafu ndipo Diamond akaenda kujikomba humo.
Acha hasira na andika kwa Staha.
IPO kipind wapo sharobaro recordHivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
Unavo nitenda siyo hivooIPO kipind wapo sharobaro record
Wolper, alikuwa Kiba akafuatia DomoMkuu mbona unaanza kuropoka kama umeshikiliwa Mpini kwa nyuma. Mi mtoto wa kiume na naomba tuheshimiane.
Mimi nasema kuhusu demu ambaye Diamond kashakula ndipo Alikiba anafyata kwa nyuma.
Nitajie demu ambaye Alikiba kashakula alafu ndipo Diamond akaenda kujikomba humo.
Acha hasira na andika kwa Staha.