We muulize kwanza aliepost hizo Picha ni nan?? Kama ni kiba sawa na kumbuka anaempost MTU it means anamkubali[emoji12] [emoji12] [emoji12] kibaa nomaaa wanamkubali kimya kimya usikute hata huyo zari anamkubali kiba kimyakimyaKawatafuta? Kiba yupo uganda kwa dili zake kwa hiyo kawatafuta hao nduguzenu au wao ndio wamemfuata akiwa kwemye mishe zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani yanawatoka c kidogo afu hiyo caption sasawamekutana club binti kaomba wapate tupicha tuwili tutatu kwa kumbukumbu.
Na binti huyo huyo ndio katupia mitandaoni kwa mapenzi yake kwa King.Inshangaza kuona watu wa Madale mapovu yanawatoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii vita ya diamond ya ali kiba si ya kitoto
Ali Kiba atampiga mdogo mtu mimba heshima irudi
Kwanza wanawake wenyewe wanamtafuta kiba kama kisasi kwa diamond na kiba yeye Mtoto wa kiume umejileta mwenyewe afanyaje, na kuhusu Wema Sepetu yeye mwenyewe alijianzishia ukaribu na kiba ili kumkomoa diamond kwasababu kipindi hicho ndo walikuwa wameachana na beef ya domo na king ndo ilikuwa ndo imepamba moto, haya ukimtoa jokate tutajie mwanamke mwingine alietoka na diamond afu na kiba akatoka nae, usipende kukurupuka na kukalili ongea facts,.. Nyie timu domo mna nn ona sasa na familia ya zari ishaanza kumshobokea king hhaaahahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtafua sana mwka huu maana c kwa hayo mapovuMkuu mbona unaanza kuropoka kama umeshikiliwa Mpini kwa nyuma. Mi mtoto wa kiume na naomba tuheshimiane.
Mimi nasema kuhusu demu ambaye Diamond kashakula ndipo Alikiba anafyata kwa nyuma.
Nitajie demu ambaye Alikiba kashakula alafu ndipo Diamond akaenda kujikomba humo.
Acha hasira na andika kwa Staha.
Povuuii[emoji36] [emoji36] [emoji36]For the first time umeongea ujinga, yaan completely non sensical sh*t
You are better than that
Kwa ubinafsi aliokuwa nao diamond haiwezekani , hapa utaskia ana bifu na darasa au nyota ya darasa ishachukuliwa-Imani yao inawatuma wakiwa na ugomvi/tofauti ndo watafanya ushindani katika soko la mziki (kama vile ni masharti ya mganga[emoji1] [emoji1])
Lakini kumbe wakiungana wanaweza kufanya vizuri zaidi "umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu",pia watakapokuwa pamoja hata wasanii wengi nyuma yao watafaidika sana na mziki wetu Tz utazidi kufanya vizuri kimataifa.
Mtu mmoja hatoshi peke yake kuitangaza Tz
KVP?? Tetea hoja yako na point ya hii threadKiba yeye hawezi kujipandisha chati mpaka apitie kwa Diamond
Nimefanyaje tenaUnavo nitenda siyo hivoo
Zipo nyingi tuHivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
Vitu vya kawaida kupiga picha na celebrities wewe tu ndo unashangaaAlikiba bhanah! Daah,anafata nyayo za Diamond tu.
Diamond katembea na Jokate,naye huyo kajipendekeza. Diamond kamtema Wema,naye huyo kaanze naye Urafiki. Diamond kamzalisha Zari,naye huyo anawatafuta urafiki na wadogo zake na Zarinah.
Aisee,aya bhanah! Kila la kheri Kibakuli.
Ile nyimbo ya Starehe gharama wapo pamojaHivi kuna mtu ana picha yoyote ya Diamond na Ali Kiba wakiwa pamoja!? Maana sijawahi kuiona.
Hata kama unayo wakiwa wadogo wanacheza, mi mwenzenu sijawahi
Waliwahi kusalimiana thats why leo hawasalimianiAsee mgoja nika i revist maana hawa jamaa kumbukumbu hazioneshi kama waliwahi hata kusalimiana
We jamaa toka lini Diamond akawa na mwili wa Neyo
Kujikomba ndo nn? acha ushambaMkuu mbona unaanza kuropoka kama umeshikiliwa Mpini kwa nyuma. Mi mtoto wa kiume na naomba tuheshimiane.
Mimi nasema kuhusu demu ambaye Diamond kashakula ndipo Alikiba anafyata kwa nyuma.
Nitajie demu ambaye Alikiba kashakula alafu ndipo Diamond akaenda kujikomba humo.
Acha hasira na andika kwa Staha.
Kweli kabisa. Siku wakiwa wamoja naamini mambo yatakuwa fresh.Wazo zuri, halafu ukute wanafungia hata zile baraka ndogo ndogo za mwenyez Mungu tuu, wangepatana wange advance zaidi.
Pia wangeacha mwanya wa sisi kuwazungumzia wasanii wengine wadogo wadogo rather than wao.
Kweli Diamond katoka mbali.
Je akitangulia kibaHAPENDAGI KIKI, ILA SIKU YA DIAMOND AKIFA KIBA ATALIA SANA