Picha: Kiba akiwa na familia ya Zari

Wolper gambe
 
Hahahah tatizo ushabiki tu. Hope mbeleni mambo yatakuwa Sawa kati ya hawa wawili
Dah ila syo leo wala kesho maana hakuna anaekubali kujishusha Kwa mwenzie. Ila d must confess yy ndo anatakiwa amplease mshikaji
 
Kumbe wote ni wanaume mbona mnachekesha wakuu mnanitia aibu au ndio wale wanaume wa dar
 
Daaaa yani humu mnatiaha hata uulze nn bado wadau mtashusha nondo ,,bnafsi sikuwah ka kuna pcha ya pamoja ya "DIAMOND NA KIBA" SALUTE SCORPIO ME
 
mziki ni biashara ni lazima uangalie niwatu gani katika soko umewalenga na uhakikishe unawapa kile wanachohitaji. sio tu uwape mziki mzuri wape mziki mzuri watu wanaouhitaji. Darasa muziki wake sasa hivi unahit lakini huwezi ona kuna team darasa sababu mpaka sasa darasa hajajitengenezea soko maalum anachofanya ni kuimba mziki mzuri tu na watu wanaupenda. Hao wote uliowataja ni wanamziki wazuri lakini hawajatarget soko specific. kama unajua mambo ya market niche utaelewa ninalosema.
 
Wolper gambe
We jamaa inaonyesha habari za mjini huwa zinakupita kushoto.

Hivi ukuwepo mjini Wolper aliposema kuwa Ali ndio alikuwa mwanaume wake wa kwanza hapa mjini?!

Wakati huo Baba ako Dimond alikuwa anaosha vyombo kwa Bob Junior
 
Reactions: G 6
Kwanza wanawake wote aliozaa nao hawajulikani alafu siyo ya diamond coz wanajitambua
 
We jamaa inaonyesha habari za mjini huwa zinakupita kushoto.

Hivi ukuwepo mjini Wolper aliposema kuwa Ali ndio alikuwa mwanaume wake wa kwanza hapa mjini?!

Wakati huo Baba ako Dimond alikuwa anaosha vyombo kwa Bob Junior
Ww kaka unakurupukaga san kama maisha ya ukimbizi uko SA yamekushinda rudi bongo.....jamaa alikuwa anampondea kiba kuwa anapiga kila alipopit domo na mm ndo nikamjibu kuwa mbona domo alitoka na wolper gambe wkt kiba alikuwa kashaosh rungu kitambo....siku nyingne uwe unaelewa siyo ukiona kiba tu unapat nyege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…