Hata shoti zile za umeme aiseeKuna haja ya kumiliki bastola
Hao ni polisi na usalamaView attachment 3582854
Vijana tembeeni na Silaha na mlinde ndugu zenu. Mkishindea mtaisha wote
kwahiyo wewe ndio ulikua unachukua picha mnato na mjongeo wakati wa tukio hilo la kujiteka right?View attachment 3582854
Vijana tembeeni na Silaha na mlinde ndugu zenu. Mkishindea mtaisha wote
View attachment 3582854
Vijana tembeeni na Silaha na mlinde ndugu zenu. Mkishindea mtaisha wote
Hope ni baby boomersKuna kazi za kijinga sana, imagine unatumwa kumteka mtu humjui hakujui eti kisa tu kamkosoa huyo anayekutuma, na unakuwa mbogo kabisa..unampiga na ikibidi kumuua kabisa.
Mi huwa nawaza sijui huwa wanakuwa na akili gani!