Msilolijua ni kama usiku wa Giza. Hiyo kitu imekua staged huyo jamaa wa Arusha kamlipa mshikaji wafunge Ndoa fake ili apate Uraia
Pia asiweze kurudishwa Tanzania kwa sababu Tanzania hizo ndoa hazikubaliki
Ingawa kafanya kwa interest zake ila ni Aibu sana kwa Taifa, tusimame pamoja kupinga ndoa za jinsia moja.
best umehisi vibaya sio huyo kuna mzee wa b msome binamu vizuri
Jamaa mfupi kweli bora haolewe.kumbe watu wafupi wengi wao wamekata tamaa na mademu sasa wanaolewa tu.
swissme
Wapi martin kadinda, rio paul, ma rope, ray, shigongo, n, ntimiz, mlela, noel, davtor, adimora nzioka, mustafa hassanal,
Rudini Africa tupambane na maisha mbona mnatia aibu hivyo? ni bora kufa ukiwa fukara kuliko aibu hizi![/QUOTE Nyani Ngabu huyo ................................
Asili ni Africa 5 generation, sio muafrica tena huyo
Si ni huyo mswahili aliyeolewa..Sasa kati yao nani MCHELE???
Hapa ndio thamani ya uchawi inatakiwa kuonekana. Familia imrushie bonge la tunguli huko huko alipo apooze kuanzia kiuno kushuka chini
WArumi 1:26-27
Achana na habari ya kajala kubanjuka na mwanamuziki diamond platnums, tupilia mbali habari ya lulu kumpora bwana hamisa mobeto, habari inayozagaa kwa sasa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, ni kuhusu kijana wa kiume wa kitanzania aliyekubali kuolewa na mwanaume wa kizungu huko UK, habari chini ya kapeti zinaelezea kijana huyo kuwa ni mwenyeji wa Arusha.
Hata hivyo bado haijajulikana kijana huyo anatokea familia gani na uamuzi wa familia yake baada ya kusikia kijana wao kaolewa na mwanaume mwenzie tena harusi ya kifahari.
Kwani wewe si ulikuwa unamuongelea gademu au?