Msilolijua ni kama usiku wa Giza. Hiyo kitu imekua staged huyo jamaa wa Arusha kamlipa mshikaji wafunge Ndoa fake ili apate Uraia
Pia asiweze kurudishwa Tanzania kwa sababu Tanzania hizo ndoa hazikubaliki
Ingawa kafanya kwa interest zake ila ni Aibu sana kwa Taifa, tusimame pamoja kupinga ndoa za jinsia moja.
Sasa si angejichukulia tu wale wazee nin kutuaibisha hivi.