hapana mzee w gademu aliona bora arudi hm ale ugali w bure kwa baba......kuna mmoja yuko humu jf anaanza na B huwa anatetea uchoko sana humu...naona ndio yeye kaolewa
Kwanini asingefunga na mwanamke kama ishu ni hivyo? Acha kupotosha
mbona mnamsema kaolewa mwafrika,,nani hapo kaandikwa mke ,,mme,,acheni kujisusha,,kila baya mwafrica
Mkuu angefunga na mwanamke wala isingekua big deal kwa sababu na wao huo mchezo wanaujua.
Ni mwaka jana tu watanzania waligoma kurudishwa Tz kutoka Australia kwa madai kuwa wanashiriki mapenzi ya Jinsia moja.
Kwa sabababu wenzetu wanazingatia sana haki za wapenzi ya Jinsia moja Waafrica wengi wameona kama ni opportunity kwa sasa.
Anaitwa John Meleck frm Arusha.
Mchagga huyo........
katoka nchi gani hapa africa dini nyingine shida
Hapo nilipobold ni kweli maana yawezekana alifanya hii kitu kwa siri kubwa na pengine mama au baba ni memba hapa jf.Kuna mtu kuzimia hapa!
Ni kijana, mtanzania mwenzetu, akifunga ndoa na mwanaume mwenzie huko nchini Uingereza! Naogopa kulitaja jina lake, ili ndugu na jamaa zake wasijepagawa!!
Baada ya kubeba sana boksi na kutoka hawatoki wameamua sasa kuolewa.. Yule Lukosi anaolewa lini??
hyo kitu haina period wala half time,24/7 game a year