dah noma sanaa! Kuna mdau hapa anamjuwa kinaga ubaga ananipa mchapo kumbe ile benz yake kaongwa na uyo bwanaake! Na ule mjengo wa mbez nae kapangishiwa ...daaah!
Wewe falla ndio nini kutuwekea picha yenye makorokocho yako?
Umeshindwa kupiga hilo gazeti pekee?
Umenitia hasira sana maana ndio naamka hivi.......
Mfuasi wa CUF? Tangu lini Arusha kukawa na wafuasi wa CUF?
Naheshimu sana wanawake na sina tabia ya kuwatukana. Sitaki nianzie kwako (kama kweli u mwanamke). Hii picha na zingine zipo hivyo hivyo Facebook na kwenye magroup ya Whatsapp zimejaa na zipo zinazunguka huko. Hayo siyo makorokocho yangu japo sielewi ni kwa nini yamekutoa povu namna hii. May be unableed au una mimba changa. Asante na pole kwa kukuharibia asubuhi yako. Don't worry. Still you gonna have a good day!Wewe falla ndio nini kutuwekea picha yenye makorokocho yako?
Umeshindwa kupiga hilo gazeti pekee?
Umenitia hasira sana maana ndio naamka hivi.......
Kama ni mchaga huyu atakua mmarangu tuu, vijana wa kimarangu wanachapwa nao sana hapa mjini
Ni haki yake kuchukua maamuzi aliyoona yanampendeza.
Anaolewa mwingine nyie mnakata viuno?
Kwa hiyo, atakuwa anatoa unyumba kama mke?
Shida ni haya magazeti yetu ya udaku. Yanaandika tu yanavyotaka!Acheni uzushi jamani.. Huyo ni raia wa Uganda. Cuf, arusha na Tanzania vinahusikaje? Ile sheria ya mtandao itawatafuna vichwa.
Naheshimu sana wanawake na sina tabia ya kuwatukana. Sitaki nianzie kwako (kama kweli u mwanamke). Hii picha na zingine zipo hivyo hivyo Facebook na kwenye magroup ya Whatsapp zimejaa na zipo zinazunguka huko. Hayo siyo makorokocho yangu japo sielewi ni kwa nini yamekutoa povu namna hii. May be unableed au una mimba changa. Asante na pole kwa kukuharibia asubuhi yako. Don't worry. Still you gonna have a good day!
Hakika huyo jamaa kawadhalilisha wana Arusha kwa tamaa ya kuwa billionaire...