Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na habari ya kajala kubanjuka na mwanamuziki diamond platnums, tupilia mbali habari ya lulu kumpora bwana hamisa mobeto, habari inayozagaa kwa sasa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, ni kuhusu kijana wa kiume wa kitanzania aliyekubali kuolewa na mwanaume wa kizungu huko UK, habari chini ya kapeti zinaelezea kijana huyo kuwa ni mwenyeji wa Arusha. Hata hivyo bado haijajulikana kijana huyo anatokea familia gani na uamuzi wa familia yake baada ya kusikia kijana wao kaolewa na mwanaume mwenzie tena harusi ya kifahari.
mke ni yupi sasa hapo au wote ni wake
Isiwe huyo kijana ndio anamgonga huyo mzungu!!
Hamna namna nyingine sasa. Ngoja aliwe tu. Akija Arusha abokolewe hata hadharani hadi apoteze ili atuondolee hii aibu.
![]()
![]()
Rudini Africa tupambane na maisha mbona mnatia aibu hivyo? ni bora kufa ukiwa fukara kuliko aibu hizi!
Msilolijua ni kama usiku wa Giza. Hiyo kitu imekua staged huyo jamaa wa Arusha kamlipa mshikaji wafunge Ndoa fake ili apate Uraia
Pia asiweze kurudishwa Tanzania kwa sababu Tanzania hizo ndoa hazikubaliki
Ingawa kafanya kwa interest zake ila ni Aibu sana kwa Taifa, tusimame pamoja kupinga ndoa za jinsia moja.