Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

Uwiiiiiii tunaenda wapi jamani?
Huyo kijana katudhalilisha sana,angekuwa kaka yangu ningemtilia sumu......potelea pote.

Najiuliza hivi kweli unaambiwa vua chupi kweli linavua!!!!!
 
Msilolijua ni kama usiku wa Giza. Hiyo kitu imekua staged huyo jamaa wa Arusha kamlipa mshikaji wafunge Ndoa fake ili apate Uraia

Pia asiweze kurudishwa Tanzania kwa sababu Tanzania hizo ndoa hazikubaliki

Ingawa kafanya kwa interest zake ila ni Aibu sana kwa Taifa, tusimame pamoja kupinga ndoa za jinsia moja.

Hata kama,haijapunguza maumivu aliyonisababishia.....
 
Kuna mmoja tulikuwa pajero pale akaja anaumauma vidole tukamuuliza wewe unit nani akajibu naitwa aunt Lee tukamkazia sauti aunt Lee wewe mchina?akasema hapana aunt Lee kifupi cha aunt lyimo.Hii tabia katika jamii yetu imekuwa na inatakiwa ipigwe vita si jambo la kulivumilia eti uamuzi wake hapana tukicheka na nyani tutavuna mabua.

La Arusha tena!!!!?
 
Arusha ni wapenda mabadiliko, nadhani na hili ni moja ya badiliko, badala ya kuzungusha mikono, chalii yetu kaamua kuzungusha kiono!! wera wera!

Hakuna mkuu! Mleta mada anabifu na watu wa Arusha tuu
 
halafu kujiamini kwa wanaume wa arusha nimeona kunawaumiza sana watu wa mikoa mingine ila poleni coz hawa ndio wamezaliwa hivyo nyie mkapewa ulegelege ridhikeni tu,
 
Achana na habari ya kajala kubanjuka na mwanamuziki diamond platnums, tupilia mbali habari ya lulu kumpora bwana hamisa mobeto, habari inayozagaa kwa sasa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, ni kuhusu kijana wa kiume wa kitanzania aliyekubali kuolewa na mwanaume wa kizungu huko UK, habari chini ya kapeti zinaelezea kijana huyo kuwa ni mwenyeji wa Arusha. Hata hivyo bado haijajulikana kijana huyo anatokea familia gani na uamuzi wa familia yake baada ya kusikia kijana wao kaolewa na mwanaume mwenzie tena harusi ya kifahari.

Wacha niongezeee moja kati ya 10 nilizonazo!
 

Attachments

  • 1448462728910.jpg
    1448462728910.jpg
    91.3 KB · Views: 1,028
Huyo anatakiwa apopolewe mawe mkuu.

Toto siyo riziki hilo. Yawezekana limewaonea wivu wale wadada na wakaka wa Kibongo wanaoo-lewa/a na vibabu/vibibi???!!! Maana jamaa wa Chuga nao kwa kuoa vibibi vya kizungu hawajambo. Huyu ni laana. Apopolewe tu. Swadakta tu likipopolewa.
 
Back
Top Bottom