Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badala ya kuchukua vijana wakulima kweli kwenye hiyo program wakabeba watoto wa mjini matokeo ndio hayo. Wapeni laki tano zaoHao vijana kwanini serikali isiwape nauli warudi makwao?
Mpango wenyewe umeshafeli, pesa zimepigwa hakuna anayejielewa asiyejua hilo, kuendelea kukaa na hao vijana ili ku justify maendeleo ya mpango uliofeli ni dhambi.
Bashe toa nauli toka kwenye pesa uliyopiga kwenye huo mpango mfu uwape hao vijana warudi makwao, usiwafanye wageuke wakimbizi.
Kuna kituo cha mafuta maeneo ya singida..naskia ni cha mwamba..zishapigwa hizooo.
Walefi kuanzia mwanzo mpaka mwisho wataendelea kufeli! These people are not smart! Huyu Waziri ni mjuaji tu badala ya kutafuta vijana wakulima wako ndani kwenye mikoa ya wakulima anakusanya makada wa CCM!
BBT mbona ina mizunguko mingi? Au hatuna uwezo.wa ku ihandle?
Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kuwa mwnaa ccm na uvivu.....Watafiti waingie field ku prove hili.Walefi kuanzia mwanzo mpaka mwisho wataendelea kufeli! These people are not smart! Huyu Waziri ni mjuaji tu badala ya kutafuta vijana wakulima wako ndani kwenye mikoa ya wakulima anakusanya makada wa CCM!
Hawa vijana wamegeuka watumwa wa Bashe na genge lake. Kwa kuwa walikubali kadanganyika wacha waisome namba
Hili tukio lipoje?