Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
JK amnadi Profesa Maji Marefu Korogwe vijijini leo
JK akimnadi mgombea ubunge wa CCM kiti cha Korogwe Vijijini Bw. Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu mchana huu katika kijiji cha Mashewa kilichoko Korogwe vijijini
Bango la Profesa Maji Marefu
Huyu ni Mganga Maarufu wa CCM wameona wampe Ubunge kwa tiketi ya Chama Chao Sasa Je Huko Bungeni na Kazi yake itakuwaje au anakwenda kwa ajili ya kuwaagu wa Bunge kule Bungeni au atasaidia kuleta maendeleo ya Taifa letu??? Hii Nchi sio Gambia Mbunge lazima awe mganga sasa huku tunapokwenda sasa Ni hatari zaid. Wananchi CHAGUA CHADEMA KWA MAENDELEO YAKO. Usikubali kupoteza kura yako kwa kuchagua hii. HATARI NCHI IMESHAUZWA SASA WANATAFUTA KINGA ZA GIZA.