Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,651
Maji Marefu for uwaziri! This guy is setting a precedent. Si ajabu 2015 walozi wenzake km akina Sheik Yahya Hussein; wale wa kule Ghamboshi, n.k. wakaunga bodi kutafuta ubunge kupitia CCM. Maana ilianza wimbi la wafanyabiashara mafisadi, sasa wachawi.