Elections 2010 Picha: Kikwete Tanga, Bumbuli, Kilindi, Kilimanjaro, Arusha

Punguza size ya picha zako mr madrassa al sul
Na huyo mwanajeshi hapo nyuma anafanya nini?
 
huko hakuna hata uwanja ?

mbona kama wako bondeni, majerubani i mean!!!
 
Mh kwa mbali amefanana sana na King Mswati ukimwangalia sana!
 
Punguza size ya picha zako mr madrassa al sul
Na huyo mwanajeshi hapo nyuma anafanya nini?

Sawa boss.Huyo si rais wa nchi??Au ameacha urais?Nadhani utata uko kwenye katiba.Sio mimi,wewe wala yeye.
 
Akiwa kwenye kampeni sio raisi wa nchi, ni mgombea wa uraisi wa nchi.
Sijui kama ilmu ya madrassa ilikufundisha hili pia
 
Sawa boss.Huyo si rais wa nchi??Au ameacha urais?Nadhani utata uko kwenye katiba.Sio mimi,wewe wala yeye.
kwa hiyo amesema ataibadilisha katiba? au yy haoni kuwa huo ni utata?
.....mix with urs!
 
Wote hao walikuwa hawana mpango wa kwenda mkutanoni, wakabebwa na malori. CCM style--
 
Si unajua tena January pesa zote za ufisadi alizokuwa ameaandaa kwa ajili ya kampeni hazitatumika.
Inabidi kulipa watu na kuwaleta kwenye mikutano kama hii.
 
Back
Top Bottom