Picha: Kila la heri Simba SC na Yanga FC wawakilishi wetu wakimataifa



Wa Kimataifa
 
hizi ni timu ni za kutoka nchi gani?

mbona naona mojawapo ni kama ina wazee wazee hivi, au macho yangu?
 
hizi ni timu ni za kutoka nchi gani?

mbona naona mojawapo ni kama ina wazee wazee hivi, au macho yangu?
Timu zote wachezaji wanapisha umri tu lakini hakuna wazee. Wazee hawawezi kucheza mpira. Na ukiangalia kwa makini kuna timu ishajikatie tamaa ya kusonga mbele, wanaenda tu kwa vile ni wajibu.. Angalia hata mchezaji wa sita picha ya kwanza kwenye thread walio kwenye mstari wa kuingia amekata tamaa.. Aaaaah anatamani hata arudi tu home, maana anaona mauza uza tu.
 
angalia tena vizuri mkuu.
 
NilOTE="Daudi Mchambuzi, post: 25858287, member: 32466"]yanga walikosa hata nguo za maana za kuvalisha wachezaji wao jamani??[/QUOTE]
Nilijua tu kuwa hicho ndo kinatafutwa.
 



Subirini kicheko cha kimataifa.....Hapo Yanga watarudi hoi na visingizio kibaooooooo, hiii timu hata siku moja haijawahi kufanya vizuri kimataifa, wao wanaridhika na kuitwa "Vibonde wa Kimataifa."
 
Mkude naona raundi hii kawahi ndege, alafu Mohamed Hussein hana pozi lingine la kupiga picha? Picha nyingi hilo ndio pozi lake.
 
Mkude naona raundi hii kawahi ndege, alafu Mohamed Hussein hana pozi lingine la kupiga picha? Picha nyingi hilo ndio pozi lake.
Huyu hana style nyingine sijui kwanini. Labda ndo anavyopenda

Simba SC Nguvu Moja..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…