Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Yanga wameniboa sana.Utadhani wanaenda kuokota uchafu kwenye jalala.Vaeni nadhifu basi,Suti,nk.Hawa wa Kijani wanaenda kupanda pipa na marapa ya chooni
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kila la heri Klabu zetu Tanzania Simba SC na Yanga FC kutuwakilisha kimataifa. Kikosi cha Yanga kilikuwa kikitua mchana wa leo katika uwanja wa Jomo Kenyatta nchini Kenya tayari kwa safari kuelekea Shelisheli kwa ajili ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya St Louis FC.
Kikosi cha Simba SC kikiwa kimefika salama jioni ya leo nchini Kenya kikisubiri kuelekea nchini Djibouti tayari kuwavaa Gendamarie Internationale FC katika michuano ya Kombe la Shirikisho.
Kila la heri wawakilishi wetu wa kimataifa.
hizi ni timu ni za kutoka nchi gani?![]()

Timu zote wachezaji wanapisha umri tu lakini hakuna wazee. Wazee hawawezi kucheza mpira. Na ukiangalia kwa makini kuna timu ishajikatie tamaa ya kusonga mbele, wanaenda tu kwa vile ni wajibu.. Angalia hata mchezaji wa sita picha ya kwanza kwenye thread walio kwenye mstari wa kuingia amekata tamaa.. Aaaaah anatamani hata arudi tu home, maana anaona mauza uza tu.hizi ni timu ni za kutoka nchi gani?
mbona naona mojawapo ni kama ina wazee wazee hivi, au macho yangu?
angalia tena vizuri mkuu.Timu zote wachezaji wanapisha umri tu lakini hakuna wazee. Wazee hawawezi kucheza mpira. Na ukiangalia kwa makini kuna timu ishajikatie tamaa ya kusonga mbele, wanaenda tu kwa vile ni wajibu.. Angalia hata mchezaji wa sita picha ya kwanza kwenye thread walio kwenye mstari wa kuingia amekata tamaa.. Aaaaah anatamani hata arudi tu home, maana anaona mauza uza tu.
Poa mkuu, tuko pamojaNgoja tusearch halafu tutajuzana hapa hapa jamvini mkuu..!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kila la heri Klabu zetu Tanzania Simba SC na Yanga FC kutuwakilisha kimataifa. Kikosi cha Yanga kilikuwa kikitua mchana wa leo katika uwanja wa Jomo Kenyatta nchini Kenya tayari kwa safari kuelekea Shelisheli kwa ajili ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya St Louis FC.
Kikosi cha Simba SC kikiwa kimefika salama jioni ya leo nchini Kenya kikisubiri kuelekea nchini Djibouti tayari kuwavaa Gendamarie Internationale FC katika michuano ya Kombe la Shirikisho.
Kila la heri wawakilishi wetu wa kimataifa.
Mkude naona raundi hii kawahi ndege, alafu Mohamed Hussein hana pozi lingine la kupiga picha? Picha nyingi hilo ndio pozi lake.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kila la heri Klabu zetu Tanzania Simba SC na Yanga FC kutuwakilisha kimataifa. Kikosi cha Yanga kilikuwa kikitua mchana wa leo katika uwanja wa Jomo Kenyatta nchini Kenya tayari kwa safari kuelekea Shelisheli kwa ajili ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya St Louis FC.
Kikosi cha Simba SC kikiwa kimefika salama jioni ya leo nchini Kenya kikisubiri kuelekea nchini Djibouti tayari kuwavaa Gendamarie Internationale FC katika michuano ya Kombe la Shirikisho.
Kila la heri wawakilishi wetu wa kimataifa.
yanga walikosa hata nguo za maana za kuvalisha wachezaji wao jamani??
Bwihi [emoji16] [emoji16] aibu mno..!View attachment 698221
Gazeti hilo, sio maneno yangu! La muda kidogo.